walikuwa wanahofia ugaidi. kwamba walikuwa wanatumia opportunity ya hijabu kubeba mabomu ya kujilipua.
vipi? unaangalia namna ya kuconnect na hijabu ya Bi Fatuma wa Igunga nini?
Wafaransa wanazuia hijabu kwa ajili ya ugaidi (mfano mmjo wa waliolipua mabomu uk alikuwa mwaume wa kisomali)
na akatoroka kurudi somalia akiwa amevaa hijabu.
Pili wanasema si haki unaongea na mtu wakati huoni sura yake (hapo huwezi kusoma sura yake na anacho ongea kama vinaendana)
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.