Kwanini uchimbe mashimo kwa ajili ya Choo?Usichimbe soma hapa

Ushirombo

JF-Expert Member
Jan 22, 2013
3,557
2,692
Habarini,leo tena nawakumbusha kwa wanaoendelea kujenga kwenye maeneo madogo hata makubwa kwamba huna haja ya kuchimba mashimo kwaajili ya Choo,tumia technology yetu ya Biodigester Decentralized System ni nafuu,haijai,inachukua nafasi ndogo pia ni environmental friendly.Hata kwa walio na Nyumba tayari,tunaweza kukubadilishia ukaishi maisha ya furaha yasiyokua na bugudha ya harufu ya Choo au nzi.Tunapatikana Dar lakini tunafanya kazi mikoa yote,
Karibuni,
Free kuja site kwako pia tunakupa ushauri
IMG_20171119_073646_059.jpg
4a92c6203a426dc3a761598f66101498.jpg
af1efebd633431c97a2dfd4a26802e78.jpg
 
Kama maelezo yako ayatoshelez hv jaribu kutuambia kidogo iyo technologia inafanya kazi kivipi ?
Hii system inafanya kazi kibailogia, its air and water tight and there is addition of additives enzymes that boost microbial growth, kwahiyo biodegradation ya kinyesi inakua so effective na kuacha no solids ndani ya system,kifupi ni kwamba kinyesi choote kinakua Maji tu,ndo maana system haijai
 
Kwaiyo ikisha baki kuwa maji . je ayo maji ayawez fanya shimo au tank ilo kujaa mapema ? Pia asante kwa maelezo mazur
 
Mi hapana, maelezo machache sana. Kwa mfano nikinya halafu nikatumia t paper, itaenda wapi, na hayo maji kama nikitumia yataenda wapi. Mara zote choo na bafu vinaungana na unajua detergent zilivyo kiburi zinaua hayo mabaiolojia yote, sasa mavi na kashimo hako si yatafoka kurudi ndani halafu iwe tabu sana? Toa maelezo ya kitaalam kwanza
 
Habarini,leo tena nawakumbusha kwa wanaoendelea kujenga kwenye maeneo madogo hata makubwa kwamba huna haja ya kuchimba mashimo kwaajili ya Choo,tumia technology yetu ya Biodigester Decentralized System ni nafuu,haijai,inachukua nafasi ndogo pia ni environmental friendly.Hata kwa walio na Nyumba tayari,tunaweza kukubadilishia ukaishi maisha ya furaha yasiyokua na bugudha ya harufu ya Choo au nzi.Tunapatikana Dar lakini tunafanya kazi mikoa yote,
Karibuni,
Free kuja site kwako pia tunakupa ushauriView attachment 633456
4a92c6203a426dc3a761598f66101498.jpg
af1efebd633431c97a2dfd4a26802e78.jpg
Tueleze kwa kina inafanyaje kazi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom