Kwanini uchaguzi wa Sekretariet ya CCM uliokuwa ufanyike leo umeahirishwa?

Freed Freed

JF-Expert Member
Jun 27, 2017
6,230
6,469
Shaka Hamdu Shaka ambaye ni Katibu wa Itikadi na Uenezi ametangaza kuwa uchaguzi wa Sekretariet ya CCM uliokuwa ufanyike leo umeahirishwa. Amedai uchaguzi huo utafanyika siku zijazo na pengine mwakani.

Sababu kuu ni nini? Au kauli za Makamba zingebadilisha uelekeo wa ushindi?
 
Kuna watu inabidi watoke kwanza, wanasubiriwa mama awatengue kwenye nafasi zao hasa wale wanaoingia kwa nafasi zao ... mawazo yangu
 
Shaka Hamdu Shaka ambaye ni Katibu wa Itikadi na Uenezi ametangaza kuwa uchaguzi wa Sekretariet ya CCM uliokuwa ufanyike leo umeahirishwa. Amedai uchaguzi huo utafanyika siku zijazo na pengine mwakani.

Sababu kuu ni nini? Au kauli za Makamba zingebadilisha uelekeo wa ushindi?
Matokeo ya uchaguzi wa waNEC kupitia nafasi 20 za bara (Tanganyika) umewapiga kitu kizito

Wasiotarajiwa ndio waliochaguliwa, na kuongoza kwa kura nyingi

Huku waliotarajiwa kama wafanyabiashara, chawa wa team msoga, chawa wa mmakunduchi (bi. mikipo) na familia zinajiona na hati miliki ya chama na uongozi zikiangukia pua na wengine kuponea chupuchupu
 
Shauri yao na chama chao.
Huna mvuto tena
1670579706815.png
 
Shaka Hamdu Shaka ambaye ni Katibu wa Itikadi na Uenezi ametangaza kuwa uchaguzi wa Sekretariet ya CCM uliokuwa ufanyike leo umeahirishwa. Amedai uchaguzi huo utafanyika siku zijazo na pengine mwakani.

Sababu kuu ni nini? Au kauli za Makamba zingebadilisha uelekeo wa ushindi?
Hayo ni yao, kama katiba yao inawaruhusu haina shida.
 
Wangeahirisha kukatika kwa umeme au ukosefu wa ajira ingekua vyema.

Ila kwa mimi mkulima hayo mambo ya nini sijui kwakweli naona kama vile naonewa tu.

Hapa nilipo nipo mgahawani nachaji simu halafu jamaa wana ahirisha tu kugawana masega ya asali.
 
Mambo ni fireeee, Kanda ya ziwa inawatesa na wanajipanga haswa. Kila upande unajipanga kupunguza nguvu ya nyingine.
hakuna cha kanda ya ziwa wala mto. hapakuwepo mtu mwenye nguvu ndani ya ccm kama LOWASA. huyu alifikia mpaka kutaka kumpindua mwenyekiti kwenye chama. ndo maana mle ndani ya mkutano wanakaa kwa mikoa. leo unajua LOWASA alipo?
 
Back
Top Bottom