Ningelikuwa mimi ningelikaa na Acacia diplomatically tukazungumza kuwa mnatuibia, tunachopata ni kidog, hii mikataba walionitangulia walifanya makosa, tuangalie upya mikataba hii nasi tupate kitakachoweza kuisaidia nchi hii, kuliko kuingia katika legal wrangle na wao!