habari ya hapa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 12,791
- 8,739
Heshima kwenu mabibi na mabwana
Nimezaliwa nimekuta wanasema mapenzi ni uchafu, sawa
wengine wanadai mapenzi ni uchizi, sawa
wanaenda mbali zaidi kudai mapenzi ni upofu nk
Misemo yte hii imesimama na haina shaka kwani INA ukweli mwingi ndani mwake,
Swali:
Km kweli twapendana, kwann twapangiana sehemu za kushikana na kuchezeana tukiwa kitandani? Wengine hata mpo pahala tu mmekaa mwapiga story za hapa na pale ukijaribu kumgusa anakwambia hebu tulizana bwana mbona hivyoo? Sijisikii vizur na sababu zingine nyingi zinazofanana na hizo
Ninyi watu tatizo linatoka wapi? Si mifupa ktk mifupa yangu na nyama katika nyama zangu, Kwanni tupangiane?
Kushikwa chuchu hutaki,
Kupapaswa hutaki
Kubadilishana mate hutaki
Kushikwa mashine hutaki
Kutaniwa na kukimbizana kidogo hutaki
Kaaa mkao huu, hutaki
Kigoli kimoja tu viwili, hutaki
Kwann upo kwangu na masharti kibao? Umetumwa?
Wapenzi wa aina hii mwakera kuliko hata mafuriko ya darisalama. Badilikeni