Kwanini tupangiane?

habari ya hapa

JF-Expert Member
Dec 20, 2012
12,791
8,739
Heshima kwenu mabibi na mabwana

Nimezaliwa nimekuta wanasema mapenzi ni uchafu, sawa

wengine wanadai mapenzi ni uchizi, sawa

wanaenda mbali zaidi kudai mapenzi ni upofu nk

Misemo yte hii imesimama na haina shaka kwani INA ukweli mwingi ndani mwake,

Swali:
Km kweli twapendana, kwann twapangiana sehemu za kushikana na kuchezeana tukiwa kitandani? Wengine hata mpo pahala tu mmekaa mwapiga story za hapa na pale ukijaribu kumgusa anakwambia hebu tulizana bwana mbona hivyoo? Sijisikii vizur na sababu zingine nyingi zinazofanana na hizo

Ninyi watu tatizo linatoka wapi? Si mifupa ktk mifupa yangu na nyama katika nyama zangu, Kwanni tupangiane?

Kushikwa chuchu hutaki,
Kupapaswa hutaki
Kubadilishana mate hutaki
Kushikwa mashine hutaki
Kutaniwa na kukimbizana kidogo hutaki
Kaaa mkao huu, hutaki
Kigoli kimoja tu viwili, hutaki

Kwann upo kwangu na masharti kibao? Umetumwa?

Wapenzi wa aina hii mwakera kuliko hata mafuriko ya darisalama. Badilikeni
 
Kumtimua je napo unasubili nini?,au napo hataki?
 
Hayo yote yanategemea ufund wako, asa kama washka chuchu kama wakamua ng'ombe atataka nan? Mate yawezekana mdomo wako wanuka kakosa ujasir wa kukwambia, mamikono unakuta machafu unataka kuingza bakteria kwenye mashne ya nan ndio mana anakataa. Hayo mashart yanatokea kulngana nawewe ulivyo jichunguze kwanza kabla ya kumsema mwenz wako.
 
Kuna jamaa mmoja alikua anajifanya bingwa wa madem ofisini..kuna siku kalibeba kurumbembe la ofisini kumbe hafanyi kitu mpaka atiwe dole..ndio wewe? si hutaki akupangie pakushikaa? bado zamu yko
 
Heshima kwenu mabibi na mabwana

Nimezaliwa nimekuta wanasema mapenzi ni uchafu, sawa

wengine wanadai mapenzi ni uchizi, sawa

wanaenda mbali zaidi kudai mapenzi ni upofu nk

Misemo yte hii imesimama na haina shaka kwani INA ukweli mwingi ndani mwake,

Swali:
Km kweli twapendana, kwann twapangiana sehemu za kushikana na kuchezeana tukiwa kitandani? Wengine hata mpo pahala tu mmekaa mwapiga story za hapa na pale ukijaribu kumgusa anakwambia hebu tulizana bwana mbona hivyoo? Sijisikii vizur na sababu zingine nyingi zinazofanana na hizo

Ninyi watu tatizo linatoka wapi? Si mifupa ktk mifupa yangu na nyama katika nyama zangu, Kwanni tupangiane?

Kushikwa chuchu hutaki,
Kupapaswa hutaki
Kubadilishana mate hutaki
Kushikwa mashine hutaki
Kutaniwa na kukimbizana kidogo hutaki
Kaaa mkao huu, hutaki
Kigoli kimoja tu viwili, hutaki

Kwann upo kwangu na masharti kibao? Umetumwa?

Wapenzi wa aina hii mwakera kuliko hata mafuriko ya darisalama. Badilikeni
Kabla ya yote una mwanamke anae kufanyia hivyo???
 
Back
Top Bottom