Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 13,226
- 26,048
Wapi nimeikana Sera ya majimbo??? Umekula bange nini???Unaikana sera yenu ya majimbo(kanda)????? basi kakichane kitabu chenu cha ilani, makamanda mna mambo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!