Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 13,227
- 26,047
Endeleeni tu na propaganda zenu uchwara!! Mnafikiri watanzania ni wajinga sana!!!Ukanda ni sera ya chadema na iko kwenye ilani yenu kwamba mtaundo serikali za kikanda mkibatiza jina la majimbo, hata utawala wenu kichama uko kikanda.Watanzania wameshituka, ni ubaguzi mbaya sana kwani ukanda utaumiza kanda zisizo la rasilimali nyingi kama Dododma, singida Irigna na kadhalika. Sera ya ccm ni uchumi jumuishi kwa nchi nzima, keki inagawanwa kimkoa, kiwilaya na kikata. Malengo ya milenia yanasisitiza usawa wa ugawaji wa rasilimali za nchi. Leo chadema wanakuja na ukanda a.k.a majimbo. TUMESHTUKA, BORA NYUMBANI KUMENOGA, CCM Hoyeeeeee
Hakuna mahala Lissu amepinga maendeleo ya kanda ya ziwa. Hoja ya Lissu ni upendeleo kwa chato ambako ni kijiji cha magufuli. Lissu amesema wazi Kwa nini Uwanja wa kimataifa haukujengwa Geita au Bukombe ukajengwa kijijini kwa Raisi Chato??? Sasa Geita na Bukombe ni wapi we kilaza wa Lumumba?????
Tunajua mnajaribu kuleta propaganda kupotosha ila tunawaambia tu mmeshafeli kabla hamjaanza