Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 15,997
Ndugu zangu,
Ukiwasikiliza na kusoma makala za Tundu Lissu na CHADEMA ni dhahiri wanatoa ujumbe kuwa eneo la Kanda ya Ziwa lisingestahili kuwa na chochote, naam wanaichikia Kanda ya Ziwa na kupinga maendeleo yake kitu ambacho ni hatari na wanapaswa kuadhidhibiwa kwenye sanduku la kura. Kwa ufupi:
Tumeshuhudia meli mpya na ukarabati wa meli za zamani kwa Ziwa Tanganyika, Nyasa na Victoria lakini Tundu na Chadema wananuna na Mv Victoria.
Tumeshihudia ujenzi wa viwanja vya ndege zaidi ya 11 vipya na kuweka rada Kilimnjaro, Mbeya na Mwanza. Lakini Tundu na Chadema wanachukia uwanja wa Chato na rada ya uwanja wa Mwanza.
Kumejengwa madaraja kadhaa juu ya mito na bahari ikiwemo Salender na Kigamboni lakini Tundu Lissu na Chadema wanachukia daraja la busisi.
Kumejengwa bandari kadhaa kwenye Ziwa Tanganyika, Nyasa na Victoria lakini Tundu Lissu na Chadema wamekasirishwa na ujenzi wa gati ya Musoma iliyopo Mwigobero.
Chuki hii ya Tundu na Chadema inayopandikizwa dhidi ya kanda ya Ziwa itawacharaza.