Kwanini Tundu Lissu na CHADEMA wanachukia maendeleo Kanda ya Ziwa?

Shida ni Ukanda na Wakabila sana hao
Yaani wanajiona Wao ndio kila kitu kumbe Majizi tu ndani ya Serikali na ndio yanayo kesha humu Kumjaza Upepo Huyo mgombea wao
 
Wewe unaijua?
Magufuli angekuwa mzawa wa Shinyanga,uwanja huo ungejengwa chato?Hili swali wengi wanalikwepa!
Ficheni Upumbavu wenu mmejawa chuki na Ukanda
Ungejengwa Wilaya za Kaskazini mgeziba makopo yenu
Ndio umejengwa na Magufuli Ndio rais wa sasa mpaka 2025
 
Ficheni Upumbavu wenu mmejawa chuki na Ukanda
Ungejengwa Wilaya za Kaskazini mgeziba makopo yenu
Ndio umejengwa na Magufuli Ndio rais wa sasa mpaka 2025
Mchezo huu hauhitaji hasira!Andika hoja yako ueleweke,matusi hayawezi kuwa majibu!Lazima tuhoji matumizi ya serikali kwani pesa ni za kwetu walipa kodi!
Swali ni jepesi tu,ila povu limekuwa jingi mno!
 
Mchezo huu hauhitaji hasira!Andika hoja yako ueleweke,matusi hayawezi kuwa majibu!Lazima tuhoji matumizi ya serikali kwani pesa ni za kwetu walipa kodi!
Swali ni jepesi tu,ila povu limekuwa jingi mno!
Mjinga Utapoteza Mudawake kumjibu
Na Ukishajua Mjinga huyo anaendeshwa na Ukanda na Ukabila Piga chini
Magufuli ndio Rais wetu mpaka 2025
Mungu pekee ndio atamzuia hakuna Kilaza yeyote Ataweza Kuamua vinginevyo
 
Povu tu naona hapa😁😁!Mmekosa majibu badala yake mnamwaga povu tu!Na bado,spana zitaendelea kupigwa mpaka mvae boxer kichwani!
Mwambieni JPM aage kabisa kwenye kampeni,maana 28 ndio mwisho wake!
Huyo mzee wenu atakufa kwa pressure matokeo yakitangazwa!
 
Ndugu zangu,

Ukiwasikiliza na kusoma makala za Tundu Lissu na CHADEMA ni dhahiri wanatoa ujumbe kuwa eneo la Kanda ya Ziwa lisingestahili kuwa na chochote, naam wanaichikia Kanda ya Ziwa na kupinga maendeleo yake kitu ambacho ni hatari na wanapaswa kuadhidhibiwa kwenye sanduku la kura. Kwa ufupi:

Tumeshuhudia meli mpya na ukarabati wa meli za zamani kwa Ziwa Tanganyika, Nyasa na Victoria lakini Tundu na Chadema wananuna na Mv Victoria.

Tumeshihudia ujenzi wa viwanja vya ndege zaidi ya 11 vipya na kuweka rada Kilimnjaro, Mbeya na Mwanza. Lakini Tundu na Chadema wanachukia uwanja wa Chato na rada ya uwanja wa Mwanza.

Kumejengwa madaraja kadhaa juu ya mito na bahari ikiwemo Salender na Kigamboni lakini Tundu Lissu na Chadema wanachukia daraja la busisi.

Kumejengwa bandari kadhaa kwenye Ziwa Tanganyika, Nyasa na Victoria lakini Tundu Lissu na Chadema wamekasirishwa na ujenzi wa gati ya Musoma iliyopo Mwigobero.

Chuki hii ya Tundu na Chadema inayopandikizwa dhidi ya kanda ya Ziwa itawacharaza.
mbuzi kweli wewe. kuna maendeleo gani kwa ajili ya wananchi Zaidi ya wizi wa rasilimali zetu
 
Shida ni Ukanda na Wakabila sana hao
Yaani wanajiona Wao ndio kila kitu kumbe Majizi tu ndani ya Serikali na ndio yanayo kesha humu Kumjaza Upepo Huyo mgombea wao
Serikali ya CCM imejaa majizi sana!Mpaka hawataki kukaguliwa kwenye manunuzi wanayofanya,shame!
 
Hakuna hoja nanichokiona huelewi
hatuta elewana investment zinazo hitajika vijijini zinazo guswa watu wengi tunajua mashule,mahispital,barabara etc viwanja wa ndege ungewekwa kwenye commercial centres kama geita ili kuchochea biashara na akina ya watu wanao mudu gharama ya kusafiri kwa ndege
 
Nje ya mada
Naona dawa imewaingia vya kutosha maccm
Screenshot_20200912-222712.jpg
 
Watu wa Kaskazn ni wabinafsi Sana. Wanataka kuona maendeleo kwao tu, ndio raha yao. Lami ziliingia had vijijin miaka ya 80 pamoja na umeme. Yaani Kilimanjaro bwana wabinafs san

Kwani aliepeleka hayo malami alikuwa mchaga?
 
Kwa sababu ni kanda ya ziwa unazungumzia ladha ya ubaguzi je vipi Dar flyovers na barabara lukuki za lami,vipi Rufiji,vipi Kilimanjaro barabara mpaka kwenye vitongoji, vipi dar JNIA terminal 1-3 wengine hmna hata terminal 1 ni mabanda airport, vipi KIA iko wapi northern corridor na Arusha barabara njia 4 inajengwa. Nadhani achieni uongozi ujenge uchumi kwa kuzingatia Mipango ya Maendeleo ya Taifa iliyopo- tusihoji kwa misingi ya ukanda kwa vile kusini na magharibi zilisahaulika sana. We need an economic balance to contribute more to GDP.
 
Ficheni Upumbavu wenu mmejawa chuki na Ukanda
Ungejengwa Wilaya za Kaskazini mgeziba makopo yenu
Ndio umejengwa na Magufuli Ndio rais wa sasa mpaka 2025
Halafu hawahoji kwanini treni imefufuliwa kwaanza ya kazikazini na si kwingine! Ingekuwa Chato wangeongea mimacho imewatoka kaa bundi
 
Povu tu naona hapa😁😁!Mmekosa majibu badala yake mnamwaga povu tu!Na bado,spana zitaendelea kupigwa mpaka mvae boxer kichwani!
Mwambieni JPM aage kabisa kwenye kampeni,maana 28 ndio mwisho wake!
Huyo mzee wenu atakufa kwa pressure matokeo yakitangazwa!
Alisikika Kilaza Mmoja Akisema
 
hatuta elewana investment zinazo hitajika vijijini zinazo guswa watu wengi tunajua mashule,mahispital,barabara etc viwanja wa ndege ungewekwa kwenye commercial centres kama geita ili kuchochea biashara na akina ya watu wanao mudu gharama ya kusafiri kwa ndege
Nana sikiliza serekali hii niyahovyo sana ndiosababu hatuipendi kilakitu nishida kwamnyonge kama kitambulisho nida mtihani watuwengi wanatabika kupata huduma mbali mbali kwanini walipotuma mapicha yale kwamtendaji yasingeambatana na namba h izo za nida? Kwenye sekta yauvuvi mm ninaishi kijijini nimeshuhudia kwa macho tokomeza uvuvi haram wanafanya dhuluma kubwa walifika wakahitaji nyavu zipimwe wananchi walifanya hivyo matokeo wamiliki wapowapi kama hunapesa nyavu tunachoma nyavu wakachoma kweli kumbe zilikuwa hazina makosa tatizo wamiliki hawana pesa zakuwapa nabado wateka mashine yaani engein zakuvulia haayayote yamefanyika vijijini ambako ccm inategemea kura huko bado utawala huu upendeleo mkubwa kilakitu chato
 
Back
Top Bottom