Kwanini Tundu Lissu na CHADEMA wanachukia maendeleo Kanda ya Ziwa?

Kinyungu

JF-Expert Member
Apr 6, 2008
9,443
2,000
Ndugu zangu,

Ukiwasikiliza na kusoma makala za Tundu Lissu na CHADEMA ni dhahiri wanatoa ujumbe kuwa eneo la Kanda ya Ziwa lisingestahili kuwa na chochote, naam wanaichikia kanda ya ziwa na kupinga maendeleo yake kitu ambacho ni hatari na wanapaswa kuadhidhibiwa kwenye sanduku la kura. Kwa ufupi:..
Lisu hachukii maendeleo ya Kanda ya ziwa anachukia ubaguzi wa maendeleo anaofanya Magufuli. Anakusanya Kodi Tunduma anajenga chato
 
maukijunior

Senior Member
Oct 22, 2017
198
500
Wakuu inamaana huyu mzee hamuoni hata hizi Kodi anazokusanya zinafanya kazi,,?! Hii awamu nimeikubali Sana,,, yaani usipofanya kazi haupati hela,,, gap Kati ya tajiri na masikini limepungua sanaaa,,, mi nna jirani yangu Hapa anafanya kazi bandari huko nyuma alikua hata anisalimii lakin sahivi tunaonana kila siku,,,, kawa mpole Sana,, tunaongea lugha Moja Sasa,,

Nchi ilikua na hela lkn tulikua hatujui zinaenda wapi, atlist sasahiv tunaona hata hayo madaraja na ndege,,, maana kipindi Cha nyuma wananchi hela tulikua hatuna na wakati tunarudi hom tufika ubungo pale tunakutana na foleni mawazo ndio yanazidi,,,
 
maukijunior

Senior Member
Oct 22, 2017
198
500
Binafsi nimeiona hoja yao imejikita kwenye Chato na sio kanda ya ziwa

Haijazungumziwa meli mpya inayogusa maslahi ya wengi....
Wambie mkuu,,, watu wanaona kiwanja Cha chato,,, mbona Dodoma Kuna kiwanja kinajengwa watu hawasemi, lkn viwanja vingap vimejengwa watu hawaongei,,, knda ya kaskazini njia ya treni imefufuliwa watu hawsemi,!.. hii miundombinu hauwezi kuona umuhimu wake Kama unakaa kijiweni tu, fanya kazi ndio utaona umuhimu wa hii miundombinu
 
maukijunior

Senior Member
Oct 22, 2017
198
500
Yani wanataka watugawe kikanda,,, Kanda ya Kati kutakua na maendeleo gani,,? Mfano mkoa kama singida au shinyaga utakua na maendeleo gani,

Mwambieni Lisu aongee hoja za kueleweka
 
JF Member

JF-Expert Member
Dec 14, 2014
3,444
2,000
Ndugu zangu,

Ukiwasikiliza na kusoma makala za Tundu Lissu na CHADEMA ni dhahiri wanatoa ujumbe kuwa eneo la Kanda ya Ziwa lisingestahili kuwa na chochote, naam wanaichikia Kanda ya Ziwa na kupinga maendeleo yake kitu ambacho ni hatari na wanapaswa kuadhidhibiwa kwenye sanduku la kura. Kwa ufupi:

Tumeshuhudia meli mpya na ukarabati wa meli za zamani kwa Ziwa Tanganyika, Nyasa na Victoria lakini Tundu na Chadema wananuna na Mv Victoria.

Tumeshihudia ujenzi wa viwanja vya ndege zaidi ya 11 vipya na kuweka rada Kilimnjaro, Mbeya na Mwanza. Lakini Tundu na Chadema wanachukia uwanja wa Chato na rada ya uwanja wa Mwanza.

Kumejengwa madaraja kadhaa juu ya mito na bahari ikiwemo Salender na Kigamboni lakini Tundu Lissu na Chadema wanachukia daraja la busisi.

Kumejengwa bandari kadhaa kwenye Ziwa Tanganyika, Nyasa na Victoria lakini Tundu Lissu na Chadema wamekasirishwa na ujenzi wa gati ya Musoma iliyopo Mwigobero.

Chuki hii ya Tundu na Chadema inayopandikizwa dhidi ya kanda ya Ziwa itawacharaza.
Lissu anachuki na Magufuli tangu alipozaliwa.
 
Vessel

JF-Expert Member
Aug 29, 2018
391

Kama waneanza kutengenezewa mawazo ya kibaguzi kwa misingi ya kikanda na vinginevyo na wanakubali ama wanaaelekea kukubaliana na Hali hiyo,sisi tuwasaidieje zaidi ya kuwataka wabadilike ama wasubiri kupambana na hali zao.
 
mwengeso

JF-Expert Member
Nov 27, 2014
7,565
2,000
Watu hawali Madaraja, hivi CCM mmeshindwa kabisa namna ya kufikiria nje ya Madaraja na Mabarabara!?
Ukiambiwa wewe ni nyumbu inabidi ujifikirie. Bila daraja la uhakika huo Uhuru na Haki atatumiaje akiwa mfungwa eneo lake? Hoja Kioja
 
jamvimoto

JF-Expert Member
Jul 28, 2015
776
1,000
Mleta mada muongo ziwatanganyika kwasasa hakuna meli iliyokarabatiwa na inayokarabatiwa wala hakuna meli mpya inayoundwa kwanza kwahapo tu wewe nimuongo pia tumesema muda mwingi maendeleo yanapendwa ndiolengoletu lakini kunautaratibu tuliojiwekea haukufwata inatowa mwanya kuonesha kunamatumizi mabaya ya ofice unatakiwa ulijue hilo chadema iliukombozi upatikane inawapenda kanda yaziwa inawaihitaji haiwachukii tafuta namnanyingine uwachonganishe.
haya sasa na kalemani alisema chato kunajengwa kiwanja cha mpira chenye hadji kuliko viwanja vyote nchi hii,wewe unaona sawa?mwanza na chato wapi palistahili au angalau geita
 
tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
33,693
2,000
Mbona wengine hawafungi hizo biashara,,, hao wengine wapo nchi gani mkuu,,? We ulikua mpiga dili tu
Kama kuna ambao hawafungi haimaanishi kuwa hali sio mbaya. Na toka lini watu wote wakakwama? Tunaangalia trend ya watu kufunga biashara. Ila kwakuwa ww ni mfaidika wa hii awamu, lazima uongee kwa nyodo.
 
Luggy

JF-Expert Member
Aug 6, 2012
2,921
2,000
Ndugu zangu,

Ukiwasikiliza na kusoma makala za Tundu Lissu na CHADEMA ni dhahiri wanatoa ujumbe kuwa eneo la Kanda ya Ziwa lisingestahili kuwa na chochote, naam wanaichikia Kanda ya Ziwa na kupinga maendeleo yake kitu ambacho ni hatari na wanapaswa kuadhidhibiwa kwenye sanduku la kura. Kwa ufupi:

Tumeshuhudia meli mpya na ukarabati wa meli za zamani kwa Ziwa Tanganyika, Nyasa na Victoria lakini Tundu na Chadema wananuna na Mv Victoria.

Tumeshihudia ujenzi wa viwanja vya ndege zaidi ya 11 vipya na kuweka rada Kilimnjaro, Mbeya na Mwanza. Lakini Tundu na Chadema wanachukia uwanja wa Chato na rada ya uwanja wa Mwanza.

Kumejengwa madaraja kadhaa juu ya mito na bahari ikiwemo Salender na Kigamboni lakini Tundu Lissu na Chadema wanachukia daraja la busisi.

Kumejengwa bandari kadhaa kwenye Ziwa Tanganyika, Nyasa na Victoria lakini Tundu Lissu na Chadema wamekasirishwa na ujenzi wa gati ya Musoma iliyopo Mwigobero.

Chuki hii ya Tundu na Chadema inayopandikizwa dhidi ya kanda ya Ziwa itawacharaza.
Hv ukiwa chama cha kijani moja ya sifa ni uvivu wa kufikiri na uzushi?
 
Lord denning

JF-Expert Member
Jun 3, 2015
3,943
2,000
Yani wanataka watugawe kikanda,,, Kanda ya Kati kutakua na maendeleo gani,,? Mfano mkoa kama singida au shinyaga utakua na maendeleo gani,

Mwambieni Lisu aongee hoja za kueleweka
Hujui Singida Kuna migodi??? Hujui dodoma kuna mapori ya akiba??? Hujui Dodoma kuna ranchi zinazouza nyama??? Hujui singida wanazalisha sana alizeti na wana viwanda vidogo vya alizeti vingi sana????

Hujui Kibaigwa wanalima sana mahindi???
Huo upotoshaji wenu wapotesheni CCM wenzenu wasio na akili. Kila kanda hapa Tanzania ina uwezo wa kujiendesha
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom