Kwanini Tundu Lissu na CHADEMA wanachukia maendeleo Kanda ya Ziwa?

mng'ato

JF-Expert Member
Oct 27, 2014
26,591
2,000
Ahaaa. Hawa ccm sio. Wamewakamata? Au kamanda unaleta porojo? Porojo ambazo hazisaidii.
Ndio porojo zako mataga ni nzuri sana.

Sera yenu ya mnataka kupanuliwaaaaaaaa?Mpanuliweeeeee?Haya nawapanuaaaaaaaaaaaaaaa hakika wananchi wameipenda.
 
FURY BORN

Member
Jul 11, 2020
25
45
Ndugu zangu,

Ukiwasikiliza na kusoma makala za Tundu Lissu na CHADEMA ni dhahiri wanatoa ujumbe kuwa eneo la Kanda ya Ziwa lisingestahili kuwa na chochote, naam wanaichikia kanda ya ziwa na kupinga maendeleo yake kitu ambacho ni hatari na wanapaswa kuadhidhibiwa kwenye sanduku la kura. Kwa ufupi:

Tumeshuhudia meli mpya na ukarabati wa meli za zamani kwa Ziwa Tanganyika, Nyasa na Victoria lakini Tundu na Chadema wananuna na Mv Victoria.

Tumeshihudia ujenzi wa viwanja vya ndege zaidi ya 11 vipya na kuweka rada Kilimnjaro, Mbeya na Mwanza. Lakini Tundu na Chadema wanachukia uwanja wa Chato na rada ya uwanja wa Mwanza.

Kumejengwa madaraja kadhaa juu ya mito na bahari ikiwemo Salender na Kigamboni lakini Tundu Lissu na Chadema wanachukia daraja la busisi.

Kumejengwa bandari kadhaa kwenye Ziwa Tanganyika, Nyasa na Victoria lakini Tundu Lissu na Chadema wamekasirishwa na ujenzi wa gati ya Musoma iliyopo Mwigobero.

Chuki hii ya Tundu na Chadema inayopandikizwa dhidi ya kanda ya Ziwa itawacharaza.
Kanda ya ziwa ipi yenye maendeleo unayoongelea wewe? ziwa nyasa, ziwa Rukwa au ziwa Tanganyika? kama ziwa victoria acha kabisa kujitoa ufahamu kwa sababu ya mapenzi yako kichama. Tunapoongelea kanda ya ziwa tunaongelea Mara, Mwanza, Simuyu, Geita na Kagera. Sasa ukinambia leo Mara ina maendeleo nitashangaa, Mara ilikuwa na Kiwanda cha nguo, kiwanda cha Maziwa, viwanda vya samaki, Musoma hotel, air Tanzania zilipishana Musoma kila siku kaangalie ule uwanja leo. Mara ilikuwa ni miongoni mwa mikoa iliyokuwa na wasomi wengi miaka ya nyuma angalia matekeo ya shule ya msingi kwa miaka mitano mfululizo kwa mkoa Mara inazidiwa na Lindi, haya ndo maendeleo. Mkoa wa Mara uliokuwa na wilaya tano leo ina majimbo lukuki na wilaya zimeongezeka maendeleo sifuri. kaangalie Musoma mjini ilivochakaa,Mkoa mzima hauna chuo kikuu, sikumbuki kama kile chuo kikuu cha kilimo cha Mwalimu Nyerere kilichokuwa kijengwe Butiama kama kilishajengwa. Geita nzima imejaa madini ina maendeleo yapi? Shinyanga?
 
Six moth

Senior Member
Aug 19, 2020
135
250
Soma bajeti ya mwaka huu 2020/2021 mliyokimbia kuipitisha eti kisa corona, kuna ujenzi wa meli mbili ziwa tanganyika ya mizigo na ya Abiria, pia UJENZI WA BANADARI YA KALEMA itakayohudumia Congo na Burundi
Kumbe unazungumzia makaratasi katika hoja niliojibu ilionekana imetoa muelekeo huduma husika ikitolewa kama sikufanyiaka muwemnatenganisha ahadi namambo ambayo hayapotayari lakini ahadi sivitu vyakujivunia kwani tunayomifano
Barabara kigoma nyakanazi niumri wamtoto kuanzia lakwanza hadichuo kikuu muda uliopita bila kukamilika
Umeme grid yataifa yaleyale toka uhuru ccm nikuahidi tu hovyo kabisa
 
mkaruka ataja rinu

JF-Expert Member
Aug 27, 2016
2,091
2,000
Ndugu zangu,

Ukiwasikiliza na kusoma makala za Tundu Lissu na CHADEMA ni dhahiri wanatoa ujumbe kuwa eneo la Kanda ya Ziwa lisingestahili kuwa na chochote, naam wanaichikia kanda ya ziwa na kupinga maendeleo yake kitu ambacho ni hatari na wanapaswa kuadhidhibiwa kwenye sanduku la kura. Kwa ufupi:

Tumeshuhudia meli mpya na ukarabati wa meli za zamani kwa Ziwa Tanganyika, Nyasa na Victoria lakini Tundu na Chadema wananuna na Mv Victoria.

Tumeshihudia ujenzi wa viwanja vya ndege zaidi ya 11 vipya na kuweka rada Kilimnjaro, Mbeya na Mwanza. Lakini Tundu na Chadema wanachukia uwanja wa Chato na rada ya uwanja wa Mwanza.

Kumejengwa madaraja kadhaa juu ya mito na bahari ikiwemo Salender na Kigamboni lakini Tundu Lissu na Chadema wanachukia daraja la busisi.

Kumejengwa bandari kadhaa kwenye Ziwa Tanganyika, Nyasa na Victoria lakini Tundu Lissu na Chadema wamekasirishwa na ujenzi wa gati ya Musoma iliyopo Mwigobero.

Chuki hii ya Tundu na Chadema inayopandikizwa dhidi ya kanda ya Ziwa itawacharaza.
Chadema na huyo kibaraka wao Tundu Lissu walitamani Ziwa Victoria liwe Kilimanjaro ili daraja lijengwe huko, usingewasikia kuhoji. Wachaga wametuibia sana nchi hii na bado ni wabaguzi sana. Leo hii huwezi kupata frem ya duka la Mchaga pale Moshi kama wewe si Mchaga na ukiingia kwa kujificha kabila lako ukapata hiyo frem, mmiliki akikugundua kwamba wewe si Mchaga atakurudishia pesa yako ya pango na kukuondoa. Tunayo mengi tu ya kusema kuhusu hao watu ila huwa tunapiga kimya maana Tanzania ni yetu sote hatutaki kubaguana.
 
Lu-ma-ga

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
3,817
2,000
Endeleeni tu na propaganda zenu uchwara!! Mnafikiri watanzania ni wajinga sana!!!

Hakuna mahala Lissu amepinga maendeleo ya kanda ya ziwa. Hoja ya Lissu ni upendeleo kwa chato ambako ni kijiji cha magufuli. Lissu amesema wazi Kwa nini Uwanja wa kimataifa haukujengwa Geita au Bukombe ukajengwa kijijini kwa Raisi Chato??? Sasa Geita na Bukombe ni wapi we kilaza wa Lumumba?????

Tunajua mnajaribu kuleta propaganda kupotosha ila tunawaambia tu mmeshafeli kabla hamjaanza
Unaikana sera yenu ya majimbo(kanda)????? basi kakichane kitabu chenu cha ilani, makamanda mna mambo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
JokaKuu

Platinum Member
Jul 31, 2006
20,034
2,000
Unaikana sera yenu ya majimbo(kanda)????? basi kakichane kitabu chenu cha ilani, makamanda mna mambo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
..hii mikoa tuliyonayo chimbuko lake ni majimbo.

..sera ya majimbo lengo lake ni kuwawezesha wananchi wawe na maamuzi zaidi ktk maendeleo yao.

..vyombo vya serikali kama Bot na Tra navyo vina mfumo wa kikanda,kwa hiyo sera ya majimbo/kanda siyo ngeni.
 
EINSTEIN112

JF-Expert Member
Oct 26, 2018
8,396
2,000
Ndugu zangu,

Ukiwasikiliza na kusoma makala za Tundu Lissu na CHADEMA ni dhahiri wanatoa ujumbe kuwa eneo la Kanda ya Ziwa lisingestahili kuwa na chochote, naam wanaichikia kanda ya ziwa na kupinga maendeleo yake kitu ambacho ni hatari na wanapaswa kuadhidhibiwa kwenye sanduku la kura. Kwa ufupi:

Tumeshuhudia meli mpya na ukarabati wa meli za zamani kwa Ziwa Tanganyika, Nyasa na Victoria lakini Tundu na Chadema wananuna na Mv Victoria.

Tumeshihudia ujenzi wa viwanja vya ndege zaidi ya 11 vipya na kuweka rada Kilimnjaro, Mbeya na Mwanza. Lakini Tundu na Chadema wanachukia uwanja wa Chato na rada ya uwanja wa Mwanza.

Kumejengwa madaraja kadhaa juu ya mito na bahari ikiwemo Salender na Kigamboni lakini Tundu Lissu na Chadema wanachukia daraja la busisi.

Kumejengwa bandari kadhaa kwenye Ziwa Tanganyika, Nyasa na Victoria lakini Tundu Lissu na Chadema wamekasirishwa na ujenzi wa gati ya Musoma iliyopo Mwigobero.

Chuki hii ya Tundu na Chadema inayopandikizwa dhidi ya kanda ya Ziwa itawacharaza.
Kanda ya Ziwa au CHATO???
 
Bams

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
8,950

Yawezekana umekwishaingiwa na uwendawazimu ndiyo maana unaona na kusikia ambavyo wenye afya nzuri ya akili hawasikii wala kuona. Wahi hospitali Milembe mapema.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Malcom XX

Senior Member
Sep 12, 2020
165
500
Ndugu zangu,

Ukiwasikiliza na kusoma makala za Tundu Lissu na CHADEMA ni dhahiri wanatoa ujumbe kuwa eneo la Kanda ya Ziwa lisingestahili kuwa na chochote, naam wanaichikia kanda ya ziwa na kupinga maendeleo yake kitu ambacho ni hatari na wanapaswa kuadhidhibiwa kwenye sanduku la kura. Kwa ufupi:

Tumeshuhudia meli mpya na ukarabati wa meli za zamani kwa Ziwa Tanganyika, Nyasa na Victoria lakini Tundu na Chadema wananuna na Mv Victoria.

Tumeshihudia ujenzi wa viwanja vya ndege zaidi ya 11 vipya na kuweka rada Kilimnjaro, Mbeya na Mwanza. Lakini Tundu na Chadema wanachukia uwanja wa Chato na rada ya uwanja wa Mwanza.

Kumejengwa madaraja kadhaa juu ya mito na bahari ikiwemo Salender na Kigamboni lakini Tundu Lissu na Chadema wanachukia daraja la busisi.

Kumejengwa bandari kadhaa kwenye Ziwa Tanganyika, Nyasa na Victoria lakini Tundu Lissu na Chadema wamekasirishwa na ujenzi wa gati ya Musoma iliyopo Mwigobero.

Chuki hii ya Tundu na Chadema inayopandikizwa dhidi ya kanda ya Ziwa itawacharaza.
Muulize John kwanini cabinet yake kwa asilimia kubwa ilikuwa ni kanda ya ziwa?
 
stroke

JF-Expert Member
Feb 17, 2012
21,539
2,000
Lisu anavyopambania sera za majimbo anasahau kuwa kule kwao Singida hali itakuwa mbaya Sana Kama sera hiyo ikitumika kulingana na shughuli za uzalishaji zinazofanyika mkoani kwake.
 
sysafiri

JF-Expert Member
Sep 19, 2019
265
250
Hakuna asiyetaka maendeleo ya nchi ila shida iko kwenye Vipaumbele! CCM mlikuja na vipaumbele vyenu badala ya kuja na vipaumbele vya wananchi.Msingekuja na vipaumbele vya kuchota hela bila kupitishwa na bunge ili kununua ndege kwa fujo,huku mkijua Wananchi hawana mfano Maji.
 
Johnson Fundi

JF-Expert Member
Jan 11, 2011
832
1,000
we mleta uzi ndio unaanzisha kaubaguzi, au we ni mbaguzi kabisa tena kaburu. leta mada ya kujenga nchi yetu sio hizo hayo yapeleke kwenye kikome na malambo, majukwaa haya ni ya kujenga nchi
 
Mac Alpho

JF-Expert Member
Aug 5, 2019
710
1,000
Maneno yao hayana madhara yoyote, na Wala hayataweza kuzuia kinachoendelea kwasasa Kanda ya ziwa.
 
Getang'wan

JF-Expert Member
Apr 9, 2015
2,215
2,000
Ndugu zangu,

Ukiwasikiliza na kusoma makala za Tundu Lissu na CHADEMA ni dhahiri wanatoa ujumbe kuwa eneo la Kanda ya Ziwa lisingestahili kuwa na chochote, naam wanaichikia kanda ya ziwa na kupinga maendeleo yake kitu ambacho ni hatari na wanapaswa kuadhidhibiwa kwenye sanduku la kura. Kwa ufupi:

Tumeshuhudia meli mpya na ukarabati wa meli za zamani kwa Ziwa Tanganyika, Nyasa na Victoria lakini Tundu na Chadema wananuna na Mv Victoria.

Tumeshihudia ujenzi wa viwanja vya ndege zaidi ya 11 vipya na kuweka rada Kilimnjaro, Mbeya na Mwanza. Lakini Tundu na Chadema wanachukia uwanja wa Chato na rada ya uwanja wa Mwanza.

Kumejengwa madaraja kadhaa juu ya mito na bahari ikiwemo Salender na Kigamboni lakini Tundu Lissu na Chadema wanachukia daraja la busisi.

Kumejengwa bandari kadhaa kwenye Ziwa Tanganyika, Nyasa na Victoria lakini Tundu Lissu na Chadema wamekasirishwa na ujenzi wa gati ya Musoma iliyopo Mwigobero.

Chuki hii ya Tundu na Chadema inayopandikizwa dhidi ya kanda ya Ziwa itawacharaza.
Swali la kipumbavu kweli kweli
 
Mac Alpho

JF-Expert Member
Aug 5, 2019
710
1,000
Hakuna asiyetaka maendeleo ya nchi ila shida iko kwenye Vipaumbele! CCM mlikuja na vipaumbele vyenu badala ya kuja na vipaumbele vya wananchi.Msingekuja na vipaumbele vya kuchota hela bila kupitishwa na bunge ili kununua ndege kwa fujo,huku mkijua Wananchi hawana mfano Maji.
Nyinyi huwa hamkosi la kuzungumzia, hata angefanya hivyo, bado mngetafuta tu cha kuzungumzia.
Hilo la ndege liliwahi kuwa sera yenu, mkiiponda serikali ya CCM, kwa kushindwa kuwa na shirika imara la ndege.Sasa limefanyika mmekosa hoja zaidi ya kupinga tu😂.Hamuelewi mnataka nini.
 
Bila bila

JF-Expert Member
Dec 20, 2016
10,811
2,000
Ndugu zangu,

Ukiwasikiliza na kusoma makala za Tundu Lissu na CHADEMA ni dhahiri wanatoa ujumbe kuwa eneo la Kanda ya Ziwa lisingestahili kuwa na chochote, naam wanaichikia kanda ya ziwa na kupinga maendeleo yake kitu ambacho ni hatari na wanapaswa kuadhidhibiwa kwenye sanduku la kura. Kwa ufupi:

Tumeshuhudia meli mpya na ukarabati wa meli za zamani kwa Ziwa Tanganyika, Nyasa na Victoria lakini Tundu na Chadema wananuna na Mv Victoria.

Tumeshihudia ujenzi wa viwanja vya ndege zaidi ya 11 vipya na kuweka rada Kilimnjaro, Mbeya na Mwanza. Lakini Tundu na Chadema wanachukia uwanja wa Chato na rada ya uwanja wa Mwanza.

Kumejengwa madaraja kadhaa juu ya mito na bahari ikiwemo Salender na Kigamboni lakini Tundu Lissu na Chadema wanachukia daraja la busisi.

Kumejengwa bandari kadhaa kwenye Ziwa Tanganyika, Nyasa na Victoria lakini Tundu Lissu na Chadema wamekasirishwa na ujenzi wa gati ya Musoma iliyopo Mwigobero.

Chuki hii ya Tundu na Chadema inayopandikizwa dhidi ya kanda ya Ziwa itawacharaza.
Maendeleo ya Kanda ya ziwa ni uwanja wa Chato huku ukiacha uwanja wa Mwanza?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom