Kwanini Tundu Lissu na CHADEMA wanachukia maendeleo Kanda ya Ziwa?

Lu-ma-ga

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
3,817
2,000
Kwa sasa ziwa Tanganyika halina meli hatamoja inayotoa huduma ya abiria watu wanakufa sana tu kwakukosa huduma hiyo alafu unachukua melikibao unapeleka upande1 hilisio sawakabisa.
Soma bajeti ya mwaka huu 2020/2021 mliyokimbia kuipitisha eti kisa corona, kuna ujenzi wa meli mbili ziwa tanganyika ya mizigo na ya Abiria, pia UJENZI WA BANADARI YA KALEMA itakayohudumia Congo na Burundi
 

Lord denning

JF-Expert Member
Jun 3, 2015
3,943
2,000
Ukanda ni sera ya chadema na iko kwenye ilani yenu kwamba mtaundo serikali za kikanda mkibatiza jina la majimbo, hata utawala wenu kichama uko kikanda.Watanzania wameshituka, ni ubaguzi mbaya sana kwani ukanda utaumiza kanda zisizo la rasilimali nyingi kama Dododma, singida Irigna na kadhalika. Sera ya ccm ni uchumi jumuishi kwa nchi nzima, keki inagawanwa kimkoa, kiwilaya na kikata. Malengo ya milenia yanasisitiza usawa wa ugawaji wa rasilimali za nchi. Leo chadema wanakuja na ukanda a.k.a majimbo. TUMESHTUKA, BORA NYUMBANI KUMENOGA, CCM Hoyeeeeee
Endeleeni tu na propaganda zenu uchwara!! Mnafikiri watanzania ni wajinga sana!!!

Hakuna mahala Lissu amepinga maendeleo ya kanda ya ziwa. Hoja ya Lissu ni upendeleo kwa chato ambako ni kijiji cha magufuli. Lissu amesema wazi Kwa nini Uwanja wa kimataifa haukujengwa Geita au Bukombe ukajengwa kijijini kwa Raisi Chato??? Sasa Geita na Bukombe ni wapi we kilaza wa Lumumba?????

Tunajua mnajaribu kuleta propaganda kupotosha ila tunawaambia tu mmeshafeli kabla hamjaanza
 

Kadhi Mkuu 1

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
9,032
2,000
Watu hawali Madaraja, hivi CCM mmeshindwa kabisa namna ya kufikiria nje ya Madaraja na Mabarabara!?
Ndo maana chadema mnasema badala ya kujenga daraja la busisi watumie hizo fedha kuwanunulia hao watu chai na maandazi wale Hadi waache.
 

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
15,618
2,000
Sasa meli ziwa Victoria mbona mnachukia?
..Unakumbuka Ofisi ya Spika iliyojengwa Urambo?

..CCM walikuwa wakiitetea kama wanavyotetea uwanja wa ndege wa Chato.

..Chato International Airport haitumiki sasa hivi, ni afadhali fedha hizo zingeelekezwa kwenye miradi inayowagusa wananchi.
 

Bill

JF-Expert Member
Oct 5, 2007
6,006
2,000
Unapomwacha mwanao avae suruali iliyotoboka huku unanunua iPhone ya M.2 huo ni upumbavu.
Tundu Lissu anapinga ule ujenzi wa Chato Airstrip uliogharimu mabilioni bila sababu maalumu
Kwani mmezuiliwa akufanya kazi wehu nyie. Fanyeni kazi mpate pesa
 

Ciril

JF-Expert Member
Jan 10, 2011
8,175
2,000
Ndo maana chadema mnasema badala ya kujenga daraja la busisi watumie hizo fedha kuwanunulia hao watu chai na maandazi wale Hadi waache.
Ha haaaa ,Mkuu mbona unatulisha maneno !?.Ilisemwa lini na wapi hiyo ,yani Watu walishwe Maandazi hadi waache ?.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom