Kwanini Tundu Lissu na CHADEMA wanachukia maendeleo Kanda ya Ziwa?

Chato si kanda ya ziwa?fuatilia hoja zao hata humu wameleta hoja za kulaani ujenzi wa daraja la busisi
Binafsi nimeiona hoja yao imejikita kwenye Chato na sio kanda ya ziwa

Haijazungumziwa meli mpya inayogusa maslahi ya wengi

Halijaguswa daraja la busisi linalogusa maslahi ya wengi

Imegusa uwanja wa chato ambao haugusi maslahi ya wananchi waliowengi. Na gharama za ujenzi wa structure hiyo na zabuni yake.

Muandishi anajikita kujenga hisia mbaya ndani ya watu wa kanda ya ziwa wadhani maendeleo yao yanapingwa na huyo wanaye mpakazia

Huku ni kushindwa kujitetea kwa hoja waliyopigwa na wapinzani wao.

Jibuni hoja msiwaingize watu wa kanda ya ziwa kwenye ujinga wenu
 
Mataga mmebaki kama kuku aliyekatwa kichwa!
Hizi propaganda mfu haziwezi kuwasaidia kuongeza kura!Jipangeni upya,mtu timamu lazima awashangae kwa upupu kama huu!
 
Ndugu zangu,

Ukiwasikiliza na kusoma makala za Tundu Lissu na CHADEMA ni dhahiri wanatoa ujumbe kuwa eneo la Kanda ya Ziwa lisingestahili kuwa na chochote, naam wanaichikia kanda ya ziwa na kupinga maendeleo yake kitu ambacho ni hatari na wanapaswa kuadhidhibiwa kwenye sanduku la kura. Kwa ufupi:

Tumeshuhudia meli mpya na ukarabati wa meli za zamani kwa Ziwa Tanganyika, Nyasa na Victoria lakini Tundu na Chadema wananuna na Mv Victoria.

Tumeshihudia ujenzi wa viwanja vya ndege zaidi ya 11 vipya na kuweka rada Kilimnjaro, Mbeya na Mwanza. Lakini Tundu na Chadema wanachukia uwanja wa Chato na rada ya uwanja wa Mwanza.

Kumejengwa madaraja kadhaa juu ya mito na bahari ikiwemo Salender na Kigamboni lakini Tundu Lissu na Chadema wanachukia daraja la busisi.

Kumejengwa bandari kadhaa kwenye Ziwa Tanganyika, Nyasa na Victoria lakini Tundu Lissu na Chadema wamekasirishwa na ujenzi wa gati ya Musoma iliyopo Mwigobero.

Chuki hii ya Tundu na Chadema inayopandikizwa dhidi ya kanda ya Ziwa itawacharaza.
Nimeangalia mapokezi ya JPM n mkutano wake leo ni wazi mgombea wa chama changu hana chake kanda ya ziwa. Mimi nasema kweli tu.
 
Watu hawali Madaraja, hivi CCM mmeshindwa kabisa namna ya kufikiria nje ya Madaraja na Mabarabara!?
Hakuna serekali itakayokuwekea pesa mfukoni. Tumia barabara, ndege, meli kupeleka bidhaa kwenye uhitaji. Serikali yoyote iliyo serious huweka miundombinu ili wananchi waitumie wajipatie maendeleo.
 
Chato si kanda ya ziwa?fuatilia hoja zao hata humu wameleta hoja za kulaani ujenzi wa daraja la busisi

..Unakumbuka Ofisi ya Spika iliyojengwa Urambo?

..CCM walikuwa wakiitetea kama wanavyotetea uwanja wa ndege wa Chato.

..Chato International Airport haitumiki sasa hivi, ni afadhali fedha hizo zingeelekezwa kwenye miradi inayowagusa wananchi.
 
Ndugu zangu,

Ukiwasikiliza na kusoma makala za Tundu Lissu na CHADEMA ni dhahiri wanatoa ujumbe kuwa eneo la Kanda ya Ziwa lisingestahili kuwa na chochote, naam wanaichikia kanda ya ziwa na kupinga maendeleo yake kitu ambacho ni hatari na wanapaswa kuadhidhibiwa kwenye sanduku la kura. Kwa ufupi:

Tumeshuhudia meli mpya na ukarabati wa meli za zamani kwa Ziwa Tanganyika, Nyasa na Victoria lakini Tundu na Chadema wananuna na Mv Victoria.

Tumeshihudia ujenzi wa viwanja vya ndege zaidi ya 11 vipya na kuweka rada Kilimnjaro, Mbeya na Mwanza. Lakini Tundu na Chadema wanachukia uwanja wa Chato na rada ya uwanja wa Mwanza.

Kumejengwa madaraja kadhaa juu ya mito na bahari ikiwemo Salender na Kigamboni lakini Tundu Lissu na Chadema wanachukia daraja la busisi.

Kumejengwa bandari kadhaa kwenye Ziwa Tanganyika, Nyasa na Victoria lakini Tundu Lissu na Chadema wamekasirishwa na ujenzi wa gati ya Musoma iliyopo Mwigobero.

Chuki hii ya Tundu na Chadema inayopandikizwa dhidi ya kanda ya Ziwa itawacharaza.
hahaha kazii kweli

Kwa kuongezea bandari zilizojengwa na kupanuliwa ni bandari ya Tanga, Dar-es-salaam, Mtwara. Madaraja ni pamoja na Benjamini Mkapa Rufiji, Magufuli kilombero.
Ndiyo maana wanataka utawala wa majimbo ili kuidhibu kanda ya ziwa.
 
Sio kanda ya ziwa tu hata kanda ya kati hawapendi yaan sehemu ambazo hawakubariki sana ndio sehemu hawataki maendeleo yawepo kwenye hili wamepoteza wapigakura wengi
 
Hakuna serekali itakayokuwekea pesa mfukoni. Tumia barabara, ndege, meli kupeleka bidhaa kwenye uhitaji. Serikali yoyote iliyo serious huweka miundombinu ili wananchi waitumie wajipatie maendeleo.
Eti wanauliza kwenye mikutano ; ni wangapi wana shilingi laki moja mfukoni, lengo lao ni kuthibitisha kwamba watu hawana pesa; lakini wanasahau kwamba dunia ya leo watu hawatembei na pesa taslimu, serikali ya ccm imewezesha kuwepo kwa online banking, watu wanatembea na kadi za atm au wamejiunga na mtandao wa online banking.Hata Kadi zinaanza kusahaulika, kwani miamala inakwenda hewani hamna kushika cash.
Kwa kweli chadema wakichukua nchi wataturudisha kwenye enzi ya kutembea na minoti kwenye soksi.
 
Mtoa mada, unapoandika bandiko lako humu jukwaani, kwanza jitathmini ndio uandike ndugu yangu, unapozungumzia suala la uwanja wa ndege ujue unazungumzia moja ya vitu vikubwa sana ambavyo vina gharimu ma bilion ya pesa, sasa ujue kuna vitu viwili inatakiwa uvifahamu.

1: Kuwekeza pesa
2: Kuzika pesa

Sasa unapozungumzia suala la uwanja wa ndege wa chato , kimsingi ni lazima tukubali kwamba ule sio uwekezaji bali ni uzikaji wa pesa , tafsir halis ya kuwekeza ni kwamba unawekeza sehemu ambapo kuna shughuli fln za kiuchuni zinafanyika, sasa kama utatumia mabilion ya pesa kwenda kuweka kitu ambacho ni kwa manufaa yako ww binafs maana yake huo sio uwekezaji bali ni uharibifu wa pesa za uma.

Binafs sina chama na wala sijishughulishagi na mambo ya siasa ila pale penye ukweli sina budu kufanya ivyo kama mtanzania mwenye mapenzi na nchi yangu, pesa kama ile angeamua kuipeleka kwenye miradi ya maendeleo ingemjengea sifa kubwa sana sababu ni miongon mwa vitu ambavyo angeweza kuviongea kwenye ilan ya chama chake, lakin kwa kile alichokifanya hawezi akasimama mbele ya watu akaongea kwamba moja ya maendeleo aliyoyafanya ni pamoja na kujenga kiwanja uko kwao.

Kwaiyo kujenga viwanja 11 ni jambo jema sana na la kimaendeleo lakin je! viwanja ivyo umevijenga wapi? sehemu ulipojenga kuna shughuli za kiuchumi zinaendelea uko? kwaiyo ndugu yangu tusiongee kishabiki bali tuongee kwa mapenzi ya tanzania na inapendeza ukiwa mkwel zaid ili hata kama mh atakuwa anasoma makala zetu atayafanyia kazi aya tunayoyazungumza hapa, msipende kusifia kitu ambacho kina muharibia mtu uwajibikaji , inatakiwa tuwe wawazi ili ajue na apate kuyafanyia kazi aya tunayoyazungumza. Mungu ibariki Africa , Mungu ibariki Tanzania & Mungu mbariki rais wetu mpendwa Dr John

Sijui atakuelewa Mungu wangu?
Naongezea tena bora hizo hela angeenda kuboresha uwanja wa ndege wa Arusha pale Burka maana kuna watalii huko Chato wanaenda kuangalia nini au una faida gani?
 
Mmeanza kutumia ukanda, magu hana mpango na kanda ya ziwa, yeye mpango wake ni chato.watu wa kanda ya ziwa wanasema jpm alianza ubaguzi tangu akiwa waziri wa ujenzi.
Ukanda ni sera ya chadema na iko kwenye ilani yenu kwamba mtaundo serikali za kikanda mkibatiza jina la majimbo, hata utawala wenu kichama uko kikanda.Watanzania wameshituka, ni ubaguzi mbaya sana kwani ukanda utaumiza kanda zisizo la rasilimali nyingi kama Dododma, singida Irigna na kadhalika. Sera ya ccm ni uchumi jumuishi kwa nchi nzima, keki inagawanwa kimkoa, kiwilaya na kikata. Malengo ya milenia yanasisitiza usawa wa ugawaji wa rasilimali za nchi. Leo chadema wanakuja na ukanda a.k.a majimbo. TUMESHTUKA, BORA NYUMBANI KUMENOGA, CCM Hoyeeeeee
 
Sijui atakuelewa Mungu wangu?
Naongezea tena bora hizo hela angeenda kuboresha uwanja wa ndege wa Arusha pale Burka maana kuna watalii huko Chato wanaenda kuangalia nini au una faida gani?
Maandiko yanasema UTAWAJUA KWA MATENDO NA MANENO YAO TU. Eti bora ukaimarishe Arusha, hahahaha haya bana tumewaelewa
 
Unapomwacha mwanao avae suruali iliyotoboka huku unanunua iPhone ya M.2 huo ni upumbavu.
Tundu Lissu anapinga ule ujenzi wa Chato Airstrip uliogharimu mabilioni bila sababu maalumu
Kisha useme pesa A wabunge zimefanya matumizi gani na kwa idhini ya nani?
 
Aliyewaambia mlichaguwa upinzani ndio maana sikuleta maendeleo shinyanga

Aliyesema mkichaguwa nje ya ccm mtaniona akiwa shinyanga

Aliyechukuwa fedha za msaada kagera kwa maafa ya tetemeko

Au kagera na shinyanga sio kanda ya ziwa?
Shinyanga ni ya ccm toka enzi za BOB NYANGA MAKANI, SHINYANGA WALICHAGUA CCM na maendeleo yakaja sawa na sehemu za upinzani kwani ccm haibagui
 
Kwa sasa ziwa Tanganyika halina meli hatamoja inayotoa huduma ya abiria watu wanakufa sana tu kwakukosa huduma hiyo alafu unachukua melikibao unapeleka upande1 hilisio sawakabisa.
Soma bajeti ya mwaka huu 2020/2021 mliyokimbia kuipitisha eti kisa corona, kuna ujenzi wa meli mbili ziwa tanganyika ya mizigo na ya Abiria, pia UJENZI WA BANADARI YA KALEMA itakayohudumia Congo na Burundi
 
Back
Top Bottom