Kwanini tunaweza kufeli katika kile kinachoitwa vita ya uchumi

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
46,888
143,985
From my perspective:

In the true economic war,it is the national and investors interest first; but with the national interest always ahead.

However,when politicians are involved; it is the national and investors interest first; but with the political interest always ahead.

Ni kweli wawekezaji sio wa kuaminika; lakini ni kweli pia wanasiasa sio wa kuaminika zaidi.

Wanasiasa wahusike kwenye kutunga na kusimamia sera zinazohusu uwekezaji pamoja na usimamizi wa sera na sheria zinakazotokana na sera hizo na kamwe si vinginevyo.
 
From my perspective:

In true economic war,it is the national and investors interest first; but with the national interest always ahead.

However,when politicians are involved; it is the national and investors interest first; but with the political interest always ahead.

Ni kweli wawekezaji sio wa kuaminika; lakini ni kweli pia wanasiasa sio wa kuaminika zaidi.

Wanasiasa wahusike kwenye kutunga na kusimamia sera zinazohusu uwekezaji pamoja na usimamizi wa sera na sheria zinakazotokana na sera hizo na kamwe si vinginevyo.

Wewe mzoefu wa kufeli unapata wapi ujasiri wa kufindisha namna ya kufaulu? Mbona umepiga disko sana.
 
From my perspective:

In the true economic war,it is the national and investors interest first; but with the national interest always ahead.

However,when politicians are involved; it is the national and investors interest first; but with the political interest always ahead.

Ni kweli wawekezaji sio wa kuaminika; lakini ni kweli pia wanasiasa sio wa kuaminika zaidi.

Wanasiasa wahusike kwenye kutunga na kusimamia sera zinazohusu uwekezaji pamoja na usimamizi wa sera na sheria zinakazotokana na sera hizo na kamwe si vinginevyo.
The problem is one Man show type of Leadership
 
Hivi hawa Barick wanajielewa kweli? Wanakubalije kulipa $300M ilihali kuna MIGA?
 
Wana siasa ndiyo wabaya zaidi, kwa maana wale waliogawa ndiyo walewale waliojitangaza wema wa kuzigomboa walizogawa. Waliouza na kusema sisi hatujui faida wanayo uzia, ndy walewale waliosema sisi ni wajinga hatuna akili tunatumiwa na wazngu
tunaoshangilia kuuzwa kwa mali zetu. Ni ajabu mwanzishaji wa tatizo ndiye yule yule anayetuona sisi wajinga tumemwacha atunyonye.
Ni wajinga pekee washangiliao wanasiasa wanapo sema mimi mtu mwema ni mekuja kuwasaidia. Yuleyule aliyeuza nyumba ndiye yuleyule anayesema leo mimi napenda taifa na mimi mzalendo wa kwanza.
 
From my perspective:

In the true economic war,it is the national and investors interest first; but with the national interest always ahead.

However,when politicians are involved; it is the national and investors interest first; but with the political interest always ahead.

Ni kweli wawekezaji sio wa kuaminika; lakini ni kweli pia wanasiasa sio wa kuaminika zaidi.

Wanasiasa wahusike kwenye kutunga na kusimamia sera zinazohusu uwekezaji pamoja na usimamizi wa sera na sheria zinakazotokana na sera hizo na kamwe si vinginevyo.
Kibaya zaidi vita inaongozwa na mtu mwenye oversized ego ambaye hajui anafanya nini, hataki ushauri wa mtu na anashangiliwa na wajinga kibao.
 
From my perspective:

In the true economic war,it is the national and investors interest first; but with the national interest always ahead.

However,when politicians are involved; it is the national and investors interest first; but with the political interest always ahead.

Ni kweli wawekezaji sio wa kuaminika; lakini ni kweli pia wanasiasa sio wa kuaminika zaidi.

Wanasiasa wahusike kwenye kutunga na kusimamia sera zinazohusu uwekezaji pamoja na usimamizi wa sera na sheria zinakazotokana na sera hizo na kamwe si vinginevyo.

Tumekuelewa mkuu wanasiasa sio watu wa kuaminika kabisa ubaya Watu wengi bado hawajaelimika ndo maana utaona mapovu mengi humu
 
Hivi hawa Barick wanajielewa kweli? Wanakubalije kulipa $300M ilihali kuna MIGA?
Hapo wenzio wanajipongeza! Na wanatucheka. Kutoka $194 billion hadi $300M kishika uchumba. Hapo nani mwenye akili. Dah! Kweli hawa jamaa hatiwawezi. Yani bado pia tunajipongeza.
 
Majadiliano yamekwisha?
 
From my perspective:

In the true economic war,it is the national and investors interest first; but with the national interest always ahead.

However,when politicians are involved; it is the national and investors interest first; but with the political interest always ahead.

Ni kweli wawekezaji sio wa kuaminika; lakini ni kweli pia wanasiasa sio wa kuaminika zaidi.

Wanasiasa wahusike kwenye kutunga na kusimamia sera zinazohusu uwekezaji pamoja na usimamizi wa sera na sheria zinakazotokana na sera hizo na kamwe si vinginevyo.

,,tutaweza” wewe na nani? Wewe siyo wetu!
 
kitu cha kwanza elimu cha pili democracy bila hivyo atuwezi kwenda popote . bila elimu hakuna democracy bila democracy hakuna uchumi
 
Kama jemedari mkuu mwenyewe ni kizibo unategemeaje kuishinda hii vita au vita nyingine yoyote ile?!
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom