Kwanini tunaoa au kuolewa?

kijema81

Member
Nov 12, 2017
23
16
Kama mada inavyosema unakuta mtu anaoa au kuolewa lakini inapokuja kutimiza wajibu analalamika sasa maana yake nini.
 
Kuoa ni dhana pana mno!
Ila kiuhalisia lengo kuu ni ili kujenga familia na kuijaza dunia KIHALALI.
Kuoa ni sawa na kununu mfuko mzima wa sukari na kuacha tabia ya kupimapima robo japo vijana wengi/ wanaume wengi wa sasa wanaweza kuwa na mfuko wa kg 50 wa sukari ndani lakini bado akawa kila siku anaenda kununua robo.
 
Tunaoa/kuolewa kutimiza agizo la mwenye enzi yake, "zaeni mkaongezeke"

Ukiona umeoa/kuolewa harafu Kati yenu kukawa na mlalamishi kama unavodai tafakali mara mbili.
 
Dhumuni kubwa tangu kale ilikuwa ili kuijaza dunia..








Siku hizi ni ili upate mteremko wa maisha au kisa umri umekwenda hivyo familia inakunanga kutwa.
 
kwani kazi ya binadamu duniani ni nini,tukipata jibu tutajua na sababu ya kuoa au kuolewa..
 
Back
Top Bottom