DAN LOKOMOTIVE
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 1,503
- 1,906
katika hali ya kawaida kabisa binadamu tuna kua kwa kisayaynsi wanaita aging na kila kitu katika mwili wa binadamu kinakua kuanzia moyo na organ zote zinakua na tunavozidi kuishi ndivyo zinapozeeka na kukosa ufanisi wa kufanya kazi sasa mtu anapofikia hatua ya kufariki maana yake kuna mfumo mmoja wa kwenye mwili wake umeshindwa kuafanya kazi na unaingilia mfumo mwingine na mwisho system zote zina zima na hiko ndio kifo.....mtu kwa mfano akiiugua figo kinacho muua sio figo ila ni madhara ya figo kutofanya kazi vizuri na kuingilia mifumo mingine nayo inaharibika na inakosa ufanisi wa kufanya kazi na ikifika system ikashandwa kuafanya kazi kabisa hiko ndio kifoHabari wana jamvi, natumai wote mu wazima na mimi kwa upande wangu ni mzima na bukheri wa afya.
Kama heading inavyosema hapo, nataka kujua ki undani zaidi kwanini tunakufa? Na kwanini binadamu akifa anashindwa kufufuliwa, kama tatizo lilikuwa ni figo kufeli kwanini baada ya kufa marehemu akiwekewa figo nyingine hafufuki?
Maana katika maisha ya kawaida kitu kikiharibika kabisa kama vile gari kikiwekewa kitu kipya kinapona na kinarudia hali yake ya mwanzoni.