S V Surovikin
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 13,590
- 32,672
Tatizo hujielewi!Ndugu nimekuuliza maswali marahisi sana
Waweza kujibu ndiyo, hapana, sijui
Au unaweza kukataa kujibu
Tatizo hujielewi!Ndugu nimekuuliza maswali marahisi sana
Waweza kujibu ndiyo, hapana, sijui
Au unaweza kukataa kujibu
Ungekuwa umejibu maswali ungejua kwa nini nimekuulizaTatizo hujielewi!
Refer to biology class, topic known as carrying capacity. Two, there is the principle of aging also known as depreciation in machines. Even if you replace machine parts to keep it functioning, you cannot do that for eternity. It comes a time when even the machine dies off.Habari wana jamvi, natumai wote mu wazima na mimi kwa upande wangu ni mzima na bukheri wa afya.
Kama heading inavyosema hapo, nataka kujua ki undani zaidi kwanini tunakufa? Na kwanini binadamu akifa anashindwa kufufuliwa, kama tatizo lilikuwa ni figo kufeli kwanini baada ya kufa marehemu akiwekewa figo nyingine hafufuki?
Maana katika maisha ya kawaida kitu kikiharibika kabisa kama vile gari kikiwekewa kitu kipya kinapona na kinarudia hali yake ya mwanzoni.
....unachagua hoja ya kujibu!Mtu mwenye akili timamu hawezi kusema "NJE YA BIBLIA HAKUNA JIBU LA KWELI".
.....twende kazi sasa!Hakuna jibu la kweli la kifo nje ya bibilia. Kama lipo leta tujadili mkuu uwe free usitangulize mihemko. Njoo na mtazamo wako mkuu sio kupinga Bila kuja na alternative
Hakika haitawezaTunakufa kwa sababu seli hai zetu zinafika mda zinachoka na hufa.
Kwa nini sayansi haiwezi kufufua watu? Mpaka hapa tulipofikia bado sayansi haijaweza kumfufua binadamu na niseme wazi tu kuwa sina hakika kama sayansi itaweza kumfufua mtu au la katika wakati ujao.
Umenena vyemanje ya bibilia Hakuna Jibu la kweli mkuu.
Yote haya yalianza miaka zaidi ya 6000 hapo mashariki ya kati maeneo ya Iraq. Karibu na mto tigris ilipokaa bustani nzuri
ya Eden. Kwingine kote utadanganywa. Na summary yake ipo kitabu cha mwanzo 1,2,3.
Ukielewa vizuri ndio utauliza maswali mapya.
1:Kwa nini Kiyama?
2:Kwa nini kondoo/ndama alichinjwa mtu akimkosea Mungu?
3:Kwa nini Yesu Afe?
4:Ni nini Dawa ya kifo?
5:Kuna kufa mara ngapi? Kwa nini hupaswi kuogopa kifo hiki tunachokiona sasa (Temporal death)?