Kwanini tunakufa?

Habari wana jamvi, natumai wote mu wazima na mimi kwa upande wangu ni mzima na bukheri wa afya.

Kama heading inavyosema hapo, nataka kujua ki undani zaidi kwanini tunakufa? Na kwanini binadamu akifa anashindwa kufufuliwa, kama tatizo lilikuwa ni figo kufeli kwanini baada ya kufa marehemu akiwekewa figo nyingine hafufuki?

Maana katika maisha ya kawaida kitu kikiharibika kabisa kama vile gari kikiwekewa kitu kipya kinapona na kinarudia hali yake ya mwanzoni.
Swali lako tu linathibitisha uwepo wa Mola.Swali hili ni dhidi ya wale wakanaji juu ya kuwepo Muumba.

Sisi tunao amini suala la uwepo wa Mola muumba swali lako ni rahisi sana.Jibu litafata baadae.

Wayakinifu swali hili hawawezi kulijibu.
 
nje ya bibilia Hakuna Jibu la kweli mkuu.
Yote haya yalianza miaka zaidi ya 6000 hapo mashariki ya kati maeneo ya Iraq. Karibu na mto tigris ilipokaa bustani nzuri
ya Eden. Kwingine kote utadanganywa. Na summary yake ipo kitabu cha mwanzo 1,2,3.

Ukielewa vizuri ndio utauliza maswali mapya.
1:Kwa nini Kiyama?
2:Kwa nini kondoo/ndama alichinjwa mtu akimkosea Mungu?
3:Kwa nini Yesu Afe?
4:Ni nini Dawa ya kifo?
5:Kuna kufa mara ngapi? Kwa nini hupaswi kuogopa kifo hiki tunachokiona sasa (Temporal death)?
1473854203337.jpg
 
Hii kwanini tunakufa ipo mbali na sayansi jamani. Binadamu hana uwezo wa kujua kila kitu hata akifikiri hadi kufa japokuwa uwezo wa kibinadamu unatofautiana. Kama utaki jibu maswali haya je ushawahi kukiona kisogo chako kwa macho yk live bila chenga??? je unafahamu kichwa chako kina vitundu vya nywele vingapi??? Kama ingekua ni oxygen pekee kila mtu angekufa uzeeni. Wapo watu wanavuta sigara na kunywa pombe hadi uzeeni lkn wapo walioshindwa kufika hata miaka 15 wakati hawatumii vitu hivyo.
 
naunga mkono hoja
 
nje ya bibilia Hakuna Jibu la kweli mkuu.
Yote haya yalianza miaka zaidi ya 6000 hapo mashariki ya kati maeneo ya Iraq. Karibu na mto tigris ilipokaa bustani nzuri
ya Eden. Kwingine kote utadanganywa. Na summary yake ipo kitabu cha mwanzo 1,2,3.

Ukielewa vizuri ndio utauliza maswali mapya.
1:Kwa nini Kiyama?
2:Kwa nini kondoo/ndama alichinjwa mtu akimkosea Mungu?
3:Kwa nini Yesu Afe?
4:Ni nini Dawa ya kifo?
5:Kuna kufa mara ngapi? Kwa nini hupaswi kuogopa kifo hiki tunachokiona sasa (Temporal death)?
Huu ni upungufu wa akili!
 
Imenipasa kuwaza sana mana kila comment on nilyosoma haijibu swali bali inarudia swali na kulifanya gumu zaidi.. Muulizaji ameringanisha kifo cha binadamu na ubovu wa vitu vilivyounda mwanadamu kiumbo akihusisha na ubovu wa vitu alivyo tengeneza mwanadam.. Kifo goes beyond physical..yaani nikweli kwamba gali ikihalibika piston ring inatolewa inaeekwa nyingine na ni kweli kwamba binadamu akipata shida ya figo anaweza wekewa figo Inge na akaishi (this stry is physical)..linapokuja swala la kufa haliusiani kabisa na kubadilishiwa viungo vya mwili.. Ni kitu cha asili ndicho kinacho amua kufa kwa binadamu.. Yaani mnaweza wote kuugua ugonjwa wa aina moja na mkapata tiba ya aina moja ila mmoja anaweza pona na mwingine anaweza kufa thats natural selection..hivo kwanini tunakufa n kwa sababu asiri ya kuwepo (existance) kwa binadamu ime amua kuto kuwepo..japo kuna sabab za kibinadamu zinaweza kusukuma au kushadadia hii asiri ya kuwepo kwa binadam ikasukuma kuto kuwepo(kufa) kwa binadamu.. Mfano maradhi na kuishi miaka mingi,.ndio maana sio lazima mzee afe na kijana asife,, ndio mana kunaweza kuwa na mzee wa miaka 100 anaugua lakini hafi ila mtoto wa siku moja anaweza kufa eti kwa sabb tuu amedondoka kutoka juu ya kitanda.. Hivyo labda n fupishe.. Nguvu hiyo ninayoitaja wana yesu au Mohamed wanaweza kuita nguvu ya MUNGU(kuumba na kuchukua) wanaojiita wana science and nao wanaweza itaftia jina lake.. Kifupi tuu kuna nguvu ya asili ya uwepo wa binadamu ndiyo sababu ya kufa kwa binadamu pia...
Naruhusu kukosolewa nawasilisha hoja
 
Tunakufa ili tukiri Mungu yupo fikiri bila kifo ingekuwaje?. Mungu uinuliwe maana hakuna masikini wala tajiri mbele yakifo..... Wewe ni waajabu.
 
There is a thin line between death and life.Mifumo ya ndani ya binadamu inapokutana na changamoto za kuifanya ishindwe kushirikiana na kutengeneza mzunguko uliokamilika matokeo yake ni kuumwa na endapo mifumo hiyo inapokosa ushirikiano kabisa matokeo yake ni kuzimika.Mfano ubongo hauwezi kupambanua utendaji wa mapafu yaliyofumuka.Mtu aliyekatwa kichwa hawezi kuendelea kuwa hai kwa sababu hakuna ushirikiano kati ya mfumo wa upumuaji na mfumo wa fahamu.Nionavyo mimi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom