Kwanini tunakufa?

brigedia mafia

JF-Expert Member
Jul 21, 2016
2,264
2,275
Habari wana jamvi, natumai wote mu wazima na mimi kwa upande wangu ni mzima na bukheri wa afya.

Kama heading inavyosema hapo, nataka kujua ki undani zaidi kwanini tunakufa? Na kwanini binadamu akifa anashindwa kufufuliwa, kama tatizo lilikuwa ni figo kufeli kwanini baada ya kufa marehemu akiwekewa figo nyingine hafufuki?

Maana katika maisha ya kawaida kitu kikiharibika kabisa kama vile gari kikiwekewa kitu kipya kinapona na kinarudia hali yake ya mwanzoni.
 
Ingekuwa hakuna kifo hata wewe usingekuwepo dunia hii nadhani dunoa ingeshajaa tangu enzi za mababu na mababu!!
 
kwa hiyo sababu ndiyo hiyo ya kujaa au?? Nashindwa kuelewa kabisa kwa nini tunashindwa kufufuana pindi tukifa , maana hii sayansi yetu imefika mbali sana
 
nje ya bibilia Hakuna Jibu la kweli mkuu.
Yote haya yalianza miaka zaidi ya 6000 hapo mashariki ya kati maeneo ya Iraq. Karibu na mto tigris ilipokaa bustani nzuri
ya Eden. Kwingine kote utadanganywa. Na summary yake ipo kitabu cha mwanzo 1,2,3.

Ukielewa vizuri ndio utauliza maswali mapya.
1:Kwa nini Kiyama?
2:Kwa nini kondoo/ndama alichinjwa mtu akimkosea Mungu?
3:Kwa nini Yesu Afe?
4:Ni nini Dawa ya kifo?
5:Kuna kufa mara ngapi? Kwa nini hupaswi kuogopa kifo hiki tunachokiona sasa (Temporal death)?
 
1. Biodiversity
Mimea/majani yataliwa na mbuzi na mbuzi tutamla sisi binadamu na sisi inabidi tufe tuliwe na mchwa halafu mchwa waliwe na kuku etc "kufa kufaana"

2. Siri ya uhai anayo Mungu mwenyewe. Hakuna mwanasayansi alieweza kumpatia uhai na kumfanya binadamu kupumua hata maroboti hayatumii roho "roho ni siri ya muumba"

3. Hukumu kwa makosa tuliyofanya ili tukaishi maisha ya milele baada ya kufa. Kuna watu wamechinjwa, wamebakwa, wamekatwa viungo km albino, wamedhulumiwa lazima wapate hukumu ya makosa waliowayo wafanyia wenzao, Haki inabidi ipatikane na sifa ya Mungu ni mtenda haki hana dhulma.

Gari likiharibika tairi tunalibadilishia tairi na mtu akiharibika figo tunabadilisha figo. Binadamu atakapokufa inabidi tumrudishe alipotokea asili ya baba yetu Adam ni udongo.
 
Ukisema Mungu kuna watu kama Kiranga hawakuelewi ,wanasema hayupo
 
Gari limetengenezwa nabinadamu kupitia tunu ya akili, lakini binadamu ameumbwa na m/mungu kwautashi wake usifikiwa nakiumbe chochote.

##ndio maana nirahisi kulifufua gari kwakubadili kifaa, na ni katu abadan haitowezekana kufufua binadamu kwakumuwekea organ##
 
Tunakufa kwa sababu seli hai zetu zinafika mda zinachoka na hufa.

Kwa nini sayansi haiwezi kufufua watu? Mpaka hapa tulipofikia bado sayansi haijaweza kumfufua binadamu na niseme wazi tu kuwa sina hakika kama sayansi itaweza kumfufua mtu au la katika wakati ujao.
ukisema tunakufa kwa sababu cell za mwili zinakuwa zishakufa , sasa vipi kuhusu watoto wadogo?? Cell zao zinakuwa zipo kwenye condition nzuri tu na wanakufa vile vile
 
Habari wana jamvi, natumai wote mu wazima na mimi kwa upande wangu ni mzima na bukheri wa afya.

Kama heading inavyosema hapo, nataka kujua ki undani zaidi kwanini tunakufa? Na kwanini binadamu akifa anashindwa kufufuliwa, kama tatizo lilikuwa ni figo kufeli kwanini baada ya kufa marehemu akiwekewa figo nyingine hafufuki?

Maana katika maisha ya kawaida kitu kikiharibika kabisa kama vile gari kikiwekewa kitu kipya kinapona na kinarudia hali yake ya mwanzoni.
Biological function of the cell
 
Tunakufa kwa sababu seli hai zetu zinafika mda zinachoka na hufa.

Kwa nini sayansi haiwezi kufufua watu? Mpaka hapa tulipofikia bado sayansi haijaweza kumfufua binadamu na niseme wazi tu kuwa sina hakika kama sayansi itaweza kumfufua mtu au la katika wakati ujao.
Alaf kuna vifo vya aina nyingi ,ina maana katika aina zote hizo wana sayansi wameshindwa hata kifo kimoja kukirudishia uhai?
 
ukisema tunakufa kwa sababu cell za mwili zinakuwa zishakufa , sasa vipi kuhusu watoto wadogo?? Cell zao zinakuwa zipo kwenye condition nzuri tu na wanakufa vile vile
Okay. Nilichokueleza hapo juu ni moja tu kati ya sababu nyingi tu kwa nini watu hufa lakini zipo sababu nyinginezo nyingi sana kwa nini watu tunakufa ikiwemo maradhi, ajali, upungufu wa lishe mwilini, kuliwa na wanyama wakali na nyinginezo nyingi tu.

Ukitaka kufahamu zaidi ona hapa https://en.m.wikipedia.org/wiki/Death
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom