Sema hujanielewaa...Hujajibu swali
Wapi hujaelewa hapo? Mbona jamaa kaeleza kwa lugha rahisi inaeleweka hata kwa mtoto? Hebu rudia tena kusoma utamuelewa vzr.Hujajibu swali
HuelewekiSema hujanielewaa...
Sema ufahamu wako mdogo...Hueleweki
Tatizo umeitega akili yako isielewe.Hebu jaribu kuwa huru kwanza utaelewa tu mkuu.Hueleweki
Unaishi ili ujaribiwe kama utaweza kufaulu mtihani wa kuwa mwema kwa kumtumikia aliyekuwezesha kuwa mwanadamu.Tunazaliwa, tunakua tunazeeka tunakufa!
Lengo la sie kuwa hapa duniani ni nini?
Kwa nini tuko hapa na tumetokea wapi, kwanini tunaishi hapa??
Kwa nini tunazaa watoto?
Tunawazaa Waje wafanye nini hapa wakati mwisho wao nikufa??
Siku zote tunaangaika na maisha kupata fedha ili kupata chakula cha asubui mchana na jioni, then tuna lala tunaamka tunaendela kutafuta fedha kwa ajili ya chakula cha asubui mchana na jioni tuna lala tena, siku zinakwenda tunazeeka tuna kufa, mzunguko unaendelea nini maaana yake???
Kuna haja ya kuzaa mtoto ili aje kupitia mzungukuko huu wa maisha?
Yaani kuamka asubui kwenda kutafuta, kula, kulala na kusubiri kufa??
NINI MAANA YA MAISHA, KWA NINI TUNAISHI?
Tunafanyaa meeengi, yote ni kama kujisahaulisha hitimisho letu (kifo)!!
Utajenga jumba kubwa kuliko yoote, utafanikiwa kupita binadamu wooooote duniani, utakuwa na pesa nyiiiingi sana mpaka hujui cha kuzifanyia lakini unakufa, sasa kwanini tunaishi hapa duniani??? Kulikua na ulazima gani wasie kuwepo hapa duniani kama tunakufa?
JeTunaishi ili tufe???
Nini maana ya maisha???View attachment 1575137
Hahaaa, Kwaiyo tuzunguke tu wangu!!Kamwe binadamu hatokuja kujua ni kwa nini anaishi, lengo la maisha ya mwanadamu halitokaa lijulikane na wanadamu ila linafahamika na yule aliyemtengeneza mwanadamu (kama yupo). Kwa hiyo mkuu we endelea na huo mzunguko tu.
Okey! Asante sanaWapi hujaelewa hapo? Mbona jamaa kaeleza kwa lugha rahisi inaeleweka hata kwa mtoto? Hebu rudia tena kusoma utamuelewa vzr....usiwe Kama aliosema jamaa hapo juu kwamba Kuna baadhi hamtaki kusikia habari hz ila ukweli ndiyo ndiyo huo,Yan hapa duniani ndo mahali pekee panapo determine mustakabali wa maisha yako yanayofuata baada ya kufumba jicho.Pamoja na kuwepo na makundi yanayokusahaulisha khs maisha yajayo ila tufahamu tu kwamba hapa tunapita na utakutana na aliyekuleta hapa duniani bila wewe kupanga kwa hiari yako na atakuonyesha yote uliyoyafanya hapa kituo namba 3 Kisha atakuweka mahali unapostahiki kwa mujibu ya uliyoyatenda hapa Duniani.Nikupe sana hongera dadangu kwa kuwaza vzr,wengi tunawaza hivi lkn hatuutaki ukweli tunapotezea japo Hakuna namna nyingine ya sisi kufuata hii kanuni.Uwe mwanasiasa,uwe mcheza mpira,mwanamuziki,mfanyabiashara,uwe jambazi,kahaba ,teja,uwe sheikh,mchungaji, doctor....Yan ishi utakavyoishi ila ukae ukijua kwamba aliyetuumba amekuwekea viumbe maalum usiowaona wanarecord Kila unachokifanya hata kiwe kidogo kama mchanga na report Kila mtu atapewa siku ya Mwisho au siku ya kiama siku ambaya Kila mtu ataambiwa alichokifanya akiwa hapa Duniani.Ili uwe salama Ni lazima uishi kwa taratibu alizoziweka Mungu Muumbaji,usiishi unavyotaka wewe utaishia pabaya na hutapata nafasi nyingine ya kusawazisha.Nafasi ya kusawazisha ipo hapa hapa duniani kabla hujaaga Dunia.
Umejuaje kama hajajibu swali ?Hujajibu swali
Tunaishi ili kutimiza lengo la kuumbwa kwetu, ambalo ni kumuabudu Mola aliye tuumba.Tunazaliwa, tunakua tunazeeka tunakufa!
Lengo la sie kuwa hapa duniani ni nini?
Kwa nini tuko hapa na tumetokea wapi, kwanini tunaishi hapa??
Kwa nini tunazaa watoto?
Tunawazaa Waje wafanye nini hapa wakati mwisho wao nikufa??
Siku zote tunaangaika na maisha kupata fedha ili kupata chakula cha asubui mchana na jioni, then tuna lala tunaamka tunaendela kutafuta fedha kwa ajili ya chakula cha asubui mchana na jioni tuna lala tena, siku zinakwenda tunazeeka tuna kufa, mzunguko unaendelea nini maaana yake???
Kuna haja ya kuzaa mtoto ili aje kupitia mzungukuko huu wa maisha?
Yaani kuamka asubui kwenda kutafuta, kula, kulala na kusubiri kufa??
NINI MAANA YA MAISHA, KWA NINI TUNAISHI?
Tunafanyaa meeengi, yote ni kama kujisahaulisha hitimisho letu (kifo)!!
Utajenga jumba kubwa kuliko yoote, utafanikiwa kupita binadamu wooooote duniani, utakuwa na pesa nyiiiingi sana mpaka hujui cha kuzifanyia lakini unakufa, sasa kwanini tunaishi hapa duniani??? Kulikua na ulazima gani wasie kuwepo hapa duniani kama tunakufa?
JeTunaishi ili tufe???
Nini maana ya maisha???View attachment 1575137
Eternal lifeTunaishi ili tukifa tukaishi kwenye uzima wa milele internal life
Kuna thread moja nilijaribu kuelezea mawazo yangu juu ya hiki kitu sema mods wakaitumbukiza kwenye jukwaa la dini huko.Hahaaa, Kwaiyo tuzunguke tu wangu!!
But lazima tujiulize, kuna kitu bado hatujajua labda,
why are we here??
Tulichagua kuwa hapa??