MLAU
JF-Expert Member
- Aug 23, 2007
- 4,726
- 3,358
Nimesoma mada kadhaa kuhusu majeruhi watatu watoto wa shule wa Lucy Vicent Arusha kupelekwa Marekani kwa matibabu zaidi kuingiza issues za siasa.
Hakuna aliyeomba kuwapeleka Nje zaidi ya kupelekwa Mount Meru Hosp baada ya ajali na Madaktari watalii wa Marekani kuomba kama wataruhusiwa waondoke nao wakawasaidie tiba zaidi huko kwao kwa gharama zao.
Mimi nimeona ni Humanitarian zaidi baada kushuhudia tukio na kushiriki uokozi wa majeruhi na kuondoa maiti eneo la ajali.
Sasa naona watanzania tunaanzisha Uzi kila siku kupingana na hilo lakini zaidi kulihusisha na siasa.
Swali kwanini tunachanganya siasa na majeruhi hawa Watoto wasio na makosa jamani?? Kulikoni au Kuna nini nyuma ya pazia??