Kwanini tunahoji uraia wa Watanzania wenye majina ya asili ya Burundi/Rwanda na si nchi nyingine?

Kitwa-Mulomoni

JF-Expert Member
Oct 25, 2016
1,779
2,000
Kuna watu kama Dotto Mashaka Biteko, waziri wa madini na mbunge wa bukombe ni Mtusi 100%, wazazi wake wote Watusi (mwenyezi mungu awarehrmu) na kaoa familia ya Watusi.

Pacha wake Kulwa Masunga Biteko, ni afisa mwandamizi wa wizara ya mambo ya nje, kituo cha kazi ni ubarozi wa msumbiji. Huyu ni afisa usalama na ni mtusi.

Kwenye misiba ya wazazi wao yote nilihudhuria, kulikuwa na magari kibao yenye plate za Rwanda, na wanao ndugu kibao huko kwao.

Hawa ni wajumbe wa vikao nyeti nchini Tanzania.
Misiba, ndoa, huwakutanisha watu wa mipaka na ndugu zao/walio baki upande meingine mipaka ya wakoloni ilipowekwa. Wajaluo, wakurya, wamasai, wanyambo/bakiga, waganda/wabumbiro, wamasai, wataita, wangoni, wayao, wamakonde, watutsi, wahutu, watwa, nk. Ni mwingiliano hai na bado mbichi! Mtashindwa kuudhibiti bila kuitwa wabaguzi.
 

Ahyan

JF-Expert Member
Jun 7, 2019
441
1,000
Watolewe tu ili kuepukana na hali ya wasiwasi... Shida kubwa inaonyesha wapo kwaajili ya maslahi yao binafsi zaidi kuliko maslahi ya taifa letu la Tanzania...
 

SAGAI GALGANO

JF-Expert Member
Nov 13, 2009
31,962
2,000
Kusema ukweli Wahutu na Watutsi wame penetrate sana kwenye mihimili yetu yote,hii ni hatari sana. Nakumbuka miaka kadhaa iliyopita iliwahi kuripotiwa kuwa afisa mmoja wa jeshi mwenye cheo cha Colonel alitoweka na kutimkia Rwanda na alikuwa kitengo nyeti makao makuu ya Jeshi. Hivyo watu wanapo hoji haya mambo siyo kwa nia mbaya bali ni kwa maslahi mapana ya nchi yetu. Naomba vyombo vyetu vya ulinzi na usalama visipuuze taarifa kama hizi vichimbe vipate ukweli.
 

SAGAI GALGANO

JF-Expert Member
Nov 13, 2009
31,962
2,000
Tatizo la watu wa hizo nchi wakiingia bongo hawapendi kujichanganya na wabongo na wanaoana wao kwa wao. wakenya, Wazambia na Wamalawi wakiingia Tz wanajichanganya na kuoana na Watz hivyo kuonekana ni wenzetu tu. Mmalawi aliyezamia Tz 2000 ni mwenzetu zaidi kuliko mnyarwanda aliyeingia 1980s
Hasa Watutsi ni wabaguzi sana na wanadharau mno.
 

LOVE U JF

JF-Expert Member
Dec 9, 2015
2,108
2,000
Raia kutoka nchi hizo 2 wapo tz before uhuru, nyerere aliwahi kuwapa uraia wanyrwand miaka ya 70 huko mwese rukwa ambao ñdyo hao kina gen.ulimwengu miaka ya 2000 tz iliotoa uraia kwa wahutu zaidi ya laki 2 ktk mikoa ya tabora n.k sasa mkitia wasiwasi kwa wàtu ambao tayar ni raia wako halali inanipa shida kuelewa mnatumia ufahamu gani wakat hata Magufuli alisema ktk makabila ya tz tuña wahutu ña watusi ,turejee misingi ya JK Nyerere afrika ni 1
 

koro-boy

JF-Expert Member
Sep 29, 2017
823
1,000
Hizi nchi za Rwanda na Burundi kihistoria zilikuwa sehemu ya Tanganyika hadi vita kuu ya kwanza ya Dunia Waingereza walipowafurusha Wajerumani kwenye Ardhi ya Tanganyika vita ile Uingereza walisaidiwa na Mfalme wa Ubelgiji aliekuwa akitawala Kongo. Uingereza akawapa shukrani Ubelgiji nchi hizi mbili. Inchi hizi zimekuwa na vita ya wenyewe kwa wenyewe muda mrefu sana tangu miaka ya late 50s hadi sasa miaka hiyo tulipokea wakimbizi wengi sana toko nchi hizi mbili kwa vipindi tofauti hadi leo. Wakimbizi hawa waliishi Tanzania kwa muda mrefu na wengine wakajipatia urai wa nchi hii. ndio unaona sasa watu hawa wanajitafutia identity katika nchi ya Tanzania. Wamekua viongozi nchini ndani ya serikali hadi ngazi za juu kabisa. Naona mtu anatoa hoja anasema Karagwe, Tabora nk. kuna watusi mara kule kuna wahutu. Hizi ni mbinu za kujitafutia identity (kutambulika) kwenye nchi ya egenini.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom