Kwanini tunahangaika kujenga bila kuzingatia life span ya Mtanzania?

Lihove2017

JF-Expert Member
Aug 10, 2017
423
560
Wakuu tunajitwisha magonjwa ya presure bure.jiulize maswali yafuatayo

1.Je Unajua life expectancy ya mtanzania? Na maanisha makadirio ya ukomo wa maisha yako?je unajua kama wewe ni sawa na aset yaani una life span?
2.kwa nini uhangaike kujenga gujumba kukubwa halafu gugumu gwa gharama sana gwa kukaa miaka mia moja na hamsini wakati wewe tayari una miaka 30 balance ya umri wako ulio baki ni sana sana miaka 35 au 40 hivi

3. Kwa nini unafikiria kujenga huku tayari una miaka 45 , kwa nini usipange tu.maana unaweza maliza nyumba na umri wako umeshafikia mwisho

ongeza maswali mengine
 
hivi unga si ninasikiwa umedhibitiwa au wengine mko mpakani mnavutia huko nchi jirani kisha mna kuja huku na stimu? Wewe ndio mtu wa kupimwa mkojo sasa lakini hakuna mamlaka inayojali.
 
Kujenga haina maana unajijengea wewe tu. Wewe utajenga lakini mtoto na wajukuu ndio watakao kaa na kufaidi na kushukuru baba au babu yao kwa kuwaachia makaazi. Mfano Mandela kapigania uhuru mpaka kuupata kawa rais kwa miaka 5 tu. Lakini mpaka leo waafrika kusini wana sheherekea uhuru wao lakini mpiganaji kishaondoka. Usifikirie leo tu fikiria kesho na keshokutwa.

Ndukiiiii

Sent from my SAMSUNG-SM-G900A using JamiiForums mobile app
 
Kiongozi.

Yaelekea wewe ni mbinafsi sana.

Na inaelekea pia huna Mtoto/Watoto.

Kwa mawazo yako haya, basi nafikiri hatuna haja ya kutafuta, ni bora tulale tusubiri Kifo.

Maana kwa mawazo yako ni kwamba kuna Faida gani ya kutafuta ikiwa muda wowote Umauti unaweza kutuchukua.

mrw-one-of-my-friends-refers-to-a-pumpkin-spice-latte-as-a-psl-177585.gif
 
Wakuu tunajitwisha magonjwa ya presure bure.jiulize maswali yafuatayo

1.Je Unajua life expectancy ya mtanzania? Na maanisha makadirio ya ukomo wa maisha yako?je unajua kama wewe ni sawa na aset yaani una life span?
2.kwa nini uhangaike kujenga gujumba kukubwa halafu gugumu gwa gharama sana gwa kukaa miaka mia moja na hamsini wakati wewe tayari una miaka 30 balance ya umri wako ulio baki ni sana sana miaka 35 au 40 hivi

3. Kwa nini unafikiria kujenga huku tayari una miaka 45 , kwa nini usipange tu.maana unaweza maliza nyumba na umri wako umeshafikia mwisho

ongeza maswali mengine
Wewe hufikirii watoto wako?!
 
Dah nimeipenda hii mada "gujumba gukubwa gugumu" kweli umenena vyema sana sana maana kuna minyumba mingine unaanza kujenga una early 30s unaamia unaikaribia 45 years.
Cha msingi mtoa mada jaribu kutoa mibadala na sio mbadala wa kujenga nyumba za namna usemayo hapo utawafungua akili wengi.
 
Nashangaa sana, watu wanajenga majumba makubwa, harafu watoto wao wakihama wanaanza kuokoteza watu wa kuishi nao wakizeeka.
 
Wakuu tunajitwisha magonjwa ya presure bure.jiulize maswali yafuatayo

1.Je Unajua life expectancy ya mtanzania? Na maanisha makadirio ya ukomo wa maisha yako?je unajua kama wewe ni sawa na aset yaani una life span?
2.kwa nini uhangaike kujenga gujumba kukubwa halafu gugumu gwa gharama sana gwa kukaa miaka mia moja na hamsini wakati wewe tayari una miaka 30 balance ya umri wako ulio baki ni sana sana miaka 35 au 40 hivi

3. Kwa nini unafikiria kujenga huku tayari una miaka 45 , kwa nini usipange tu.maana unaweza maliza nyumba na umri wako umeshafikia mwisho

ongeza maswali mengine
I got children Mr, I love them. I want my kids to live a much better life then me

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu tunajitwisha magonjwa ya presure bure.jiulize maswali yafuatayo

1.Je Unajua life expectancy ya mtanzania? Na maanisha makadirio ya ukomo wa maisha yako?je unajua kama wewe ni sawa na aset yaani una life span?
2.kwa nini uhangaike kujenga gujumba kukubwa halafu gugumu gwa gharama sana gwa kukaa miaka mia moja na hamsini wakati wewe tayari una miaka 30 balance ya umri wako ulio baki ni sana sana miaka 35 au 40 hivi

3. Kwa nini unafikiria kujenga huku tayari una miaka 45 , kwa nini usipange tu.maana unaweza maliza nyumba na umri wako umeshafikia mwisho

ongeza maswali mengine

Mawazo mfu na akili mfu, utu mfu, fikra mfu, ubongo mfu etc

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayo ni mawazo ambayo ukikaa kuyawaza hutafanya chochote katika hii dunia eti kisa umri umekwenda.

Kwani katika haya maisha ukijenga nyumba utaishi peke kayo kwa sababu ikitokea umekufa ni kuna ambao itawasaidia pia ikiwemo familia yako.
 
Back
Top Bottom