Kwanini tunafunga ndoa kwa mkuu wa wilaya badala ya Mahakamani?

Red Giant

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
15,658
20,887
Ndoa ni mkataba,

Kwanini tunaingia mkataba kwa mkuu wa wilaya na si mahakamani? Nchi nyingi nimeona ndoa ya kiserikali inafungwa mahakamani. Kwanini iko hivyo?
 
Ndoa ni mkataba. Kwanini tunaingia mkataba kwa mkuu wa wilaya na si mahakamani?. Nchi nyingi nimeona ndoa ya kiserikali inafungwa mahakamani. Kwanini iko hivyo?

Nikajua unaulizia kwa hapa Tanzania kumbe nje ya Tanzania! Tuwangojee wajuvi wa kutoka Nyingi.
 
Kwa sababu ukienda mahakamani unachezea hatari ya kuswekwa Lupango. Mahakama kazi yake ni kusuluhisha migogoro. Sasa kwani hata hapa mwanzo tayari mshatifuana mpaka mahakama ihusike!???
 
Back
Top Bottom