Kwanini tunaendeshwa na Poropaganda na Vituko vya Wanasiasa?

Mmasi

Senior Member
Oct 26, 2011
164
15
Kweli jamaani Taifa linaweza kupoteza Dira hususa tunapoona Mijadala inayoendelea ni ya kueneza matusi na kejeli kwa kuwa Mwanasiasa wa mlengo fulani amepotoka katika jambo fulani,Nasema hii haikubaliki kwa masilahi mapana ya Taifa letu hata JF.Naomba kukuhoji hivi unaweza kusema wewe ni Great thinker? Jipime kwa mijahalo yako utuambie.
 
Naikumbukwe inatupasa kurithisha kwa vizazi vijavyo "UTASHI" sahihi wa kufikiri' na kuchanganua' mambo.Wewe utarithisha hizo Kejeli.
 
Kweli jamaani Taifa linaweza kupoteza Dira hususa tunapoona Mijadala inayoendelea ni ya kueneza matusi na kejeli kwa kuwa Mwanasiasa wa mlengo fulani amepotoka katika jambo fulani,Nasema hii haikubaliki kwa masilahi mapana ya Taifa letu hata JF.Naomba kukuhoji hivi unaweza kusema wewe ni Great thinker? Jipime kwa mijahalo yako utuambie.

Tulitakiwa Jamii Forum iwe kioo cha jamii na watu wawe wanajifunza toka hapa.Lakini leo badala ya kujibishana hoja kwa hoja wengi wetu tupo busy kutukanana matusi ya ajabu,mipasho,kutukana hata viongozi wasiyokuwepo kwenye ajenda.Tungeweza kubadili sura ya hawa mafisadi kama arguments zetu zingejikita kwenye kujenga Taifa letu.
 
yah ni kweli mipasho na vijembe vya nini
 
Vitabu vya shigongo vimeingizwa kwenye silabasi na hakuna anaezungumza
 
Na vizuri na muhimu jamii forum tukajitambua kuwa Our major obligation is not to mistake Slogans for solution ,and speacial in this country driven by slogans such as maisha bora kwa kila mtanzania ,kilimo kwanza ,big results now and ect .
 
Toka January MakambaAgawe zile smart phones kwa vijana wa lumumba hili jukwaa limekuwa la ovyo kabisa. Tafakari!
 
The Boss utaona hata wa changiaji wa thead hizi ni wachache watu ni "UMBEA WA KUZUNGUMZIA NGONO KILA MUDA" change is you.
 
Toka January MakambaAgawe zile smart phones kwa vijana wa lumumba hili jukwaa limekuwa la ovyo kabisa. Tafakari!

Nina wazo labda linaweza kuwa jibu .kwanini kwa kuwa hawa buk7 kwa aina ya uchangiaji wao tunawatambua .wakichangia au wakianzisha thread tuwasusie kuchangia wa kujibu .wabaki wenyewe na matusi ,kejeli zao .kwani nimegundua wakiwa wenyewe thread zao zinajifia muda mfupi sana .mnaonaje wana JF Great thinkers
 
yah ni kweli mipasho na vijembe vya nini

Wajua tukiweza kuacha mipasho na vijembe humu na tukaelekeza nguvu zetu katika nafasi ya kujua matatizo ya Taifa na kuyatatua nadhani viongozi wetu watashtuka na kutuogopa.Lakini kwa sasa bado sana,mpaka tujitambue.
 
Na vizuri na muhimu jamii forum tukajitambua kuwa Our major obligation is not to mistake Slogans for solution ,and speacial in this country driven by slogans such as maisha bora kwa kila mtanzania ,kilimo kwanza ,big results now and ect .

Ni kweli tunatakiwa tujitambue lakini sijui kama Watanzania tunalijua hilo.Bila sisi wenyewe kujitambua wengine hawawezi kutusaidia hata kidogo.
 
Vitabu vya shigongo vimeingizwa kwenye silabasi na hakuna anaezungumza
Haha....Nyimbo za "Kuchapia ni Siri ya ndani" zimepewa hadhi ya mashairi ya Shakespeare..diamond wamchukua nafsi kuliko shaaban robert,ufisadi umekuwa sifa ya ujanja nchini....na usiasahau PhD nayo ni kinga ya kufanya chochote bila kujali uliipataje hata km umeichukua ktk supermarket.
 
Tulitakiwa Jamii Forum iwe kioo cha jamii na watu wawe wanajifunza toka hapa.Lakini leo badala ya kujibishana hoja kwa hoja wengi wetu tupo busy kutukanana matusi ya ajabu,mipasho,kutukana hata viongozi wasiyokuwepo kwenye ajenda.Tungeweza kubadili sura ya hawa mafisadi kama arguments zetu zingejikita kwenye kujenga Taifa letu.

Nilianza kukuelewa maelezo myako kuwa yalikuwa sahihi,lalini kwa bahati mbaya sana na ww umekuwa victim wa kuwa na mipasho kwa kuegemea utakalo.
Sentesi yako ya mwisho maneno ' hawa mafisadi kama' ungeyaondoa hoja yako ilikuwa nzuri kwa lengo la kujenga taifa.
 
Maana yangu si kuiweka kama mipasho,bali nimeiweka ili kama tunaongelea kuhusu UFISADI au Madawa ya kulevya Tanzania basi tuyaongelee kwa maendeleo ya Taifa.
 
Mada ni kwa ninitunaendeshwa na propaganda na vituko vya wanasiasa.
 
Inahuzunisha wakati tunapoacha kufikiri kwa akili zetu na kutumia mawazo ya walafi wachache kutugeuza kuwa mashaamba yao ya ulaji pasipo sisi kujielewa.
Watu wengi kwa sasa ushabiki ndo tatizo, na bahati mbaya hata huyo anaeshabikiwa akishajua hilo huanza kutumia wafuasi wake.km misukule kwan hawana uwezo tena wa kuhoji anachokitenda, hili ndilo tatizo hasa.
Kwa sasa utakuta hata wasomi tuliowategemea km dira ya taifa kuingia ktk mkumbo huu wa kutumiwa ilhali nafsi zao haziwatumi hivyo, (wao hutafuta msamiati wa kula hela za mafsadi bila kujua wanaliwa ubongo wao).
Tucpobadilika ktk kufikiri na utendaji kazi wetu kiukweli hatutayaona mabadiliko tunayokuwa tunayazungumzia ktk midomo. Nawasilisha
 
Nina wazo labda linaweza kuwa jibu .kwanini kwa kuwa hawa buk7 kwa aina ya uchangiaji wao tunawatambua .wakichangia au wakianzisha thread tuwasusie kuchangia wa kujibu .wabaki wenyewe na matusi ,kejeli zao .kwani nimegundua wakiwa wenyewe thread zao zinajifia muda mfupi sana .mnaonaje wana JF Great thinkers

wazo lako zuri na naanza kulifanyia kazi kuanzia leo mkuu!
 
Mada ni kwa ninitunaendeshwa na propaganda na vituko vya wanasiasa.

Kwa sababu tumekubali uongo na ujinga wa wanasiasa,na vile vijisenti vyao ambavyo vinatokana na kodi zetu na mali asili zetu.Hope nimejibu vyema.
 
Back
Top Bottom