Kwanini tuna wapinzani wengi mitandaoni ila uraiani hawaonekani?

Superbug

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
9,489
2,000
Umewahi kukatwa shingo kwakisu na usalama wa taifa la afrika? Kama amewahi kukatwa shingo kwakisu na idara nyeti ya exowas njoo hapa
 

misasa

JF-Expert Member
Feb 5, 2014
11,656
2,000
Nina wasi wasi wapo wachache ila wenye kumiliki ACCOUNT za mitandao ya kijamii zaidi ya moja
 

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
30,404
2,000
Ukiingia mitandaoni unaweza kudhani kila kona ya tanzania utakutana na ofisi na bendera za wapinzani, maajabu ni kwamba tofauti na miaka kadhaa iliyopita bendera na ofisi za CCM pamoja na makada wanaovaa hizo sare utawapata kila kona ya nchi.

Naomba wapinzani watoke mitandaoni na kuendesha shughuli mitaani ili kuwafikia watanzania wa kawaida wasio na access ya mitandao.
simple, mtawaua, mtawapoteza, mtawafunga and all other atrocities. Wako mitandaoni for their safety. In modern politics, nobody wants to be a dead hero. Nadhani nimekujibu vema
 

Kadhi Mkuu 1

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
11,504
2,000
umedanganyika sana , yaani ulivyo na akili duni unadhani Polisi watawasaidieni hadi lini ? Aliyempindua dikteta Alfa Conde alikuwa mshika mwamvuli wake akihutubia juani au kwenye mvua
Kwahiyo unawaza mapinduzi ili chadema mchukue nchi? Hilo gaidi lenu halina huo uwezo Kama wa aliyempindua Conde na hata jeshi likichukua nchi Haina maana kwamba Chadema ndo watakuwa wamechukua nchi.
Nyumbu hovyo kabisa.
 

Bepari la bariadi

JF-Expert Member
Jun 25, 2016
416
1,000
Lisu alifanyiwa uwizi wa mchana kweupe kila mwennye akili aliona acha upotoshaji
Acha ujinga ndugu.
Angekuwa ameshinda Basi angepata uungwaji mkono wa maandamano yake aliyoyaitisha harafu yeye akatokomea ubalozini akiwa anatweta baada ya kukomaa hata nzi wa kumuunga mkono
 

MAMESHO

JF-Expert Member
Jul 5, 2011
1,179
2,000
Dah, umepiga kwenye mshono. Wapinzani waanzie chini kujenga chama.
 

Babati

JF-Expert Member
Aug 7, 2014
53,761
2,000
Ukiingia mitandaoni unaweza kudhani kila kona ya tanzania utakutana na ofisi na bendera za wapinzani, maajabu ni kwamba tofauti na miaka kadhaa iliyopita bendera na ofisi za CCM pamoja na makada wanaovaa hizo sare utawapata kila kona ya nchi.

Naomba wapinzani watoke mitandaoni na kuendesha shughuli mitaani ili kuwafikia watanzania wa kawaida wasio na access ya mitandao.
CCM wanafanya siasa za kizamani mzee sisi tunafanya siasa kidijitali, dunia imehamia kwenye social network
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom