Kwanini tuliyakimbia mavazi haya

Mikoani wanawake bado wanavaa magagulo... au underskirt kwa lugha nyingine...

Dar wanawake wengi ni mwendo wa chupi zenye vimikanda zinazoziba mbele tuu...



Cc: mahondaw
 
Underskirt navaa bado ila ni kwa nguo zinazoangaza tu kinyume na hapo navaa taiti.
 
Wengine Tuna Madushe Makubwa Hiyo chupi haifai dushe litachungulia bora boksa. Kwa Wale Wa Underskirt Taiti Imechukua Nafasi Na Unakuwa Huru Zaidi, Haichungulii Kama Underskirt. Kuvaa Underskirt Wakati Taiti Ipo Ni Ushamba. By The Way hii ni mitindo mipya ya mavazi ya siri (faragha)
Inategemea aina ya nguo uliyovaa, watu waliojanjaruka uzeeni wanasumbua sana
 
Mkuu wapi umekuta zinauzwa siku hzi?
Nadhani wewe DUNIA kwako ni KARIAKOO tu.

Kwanini chupi zisivaliwe? kila kona maduka yanauza chupi, kama huvai wewe sawa. Mimi mwananume navaa chupi, Nani alikwambia kila mtu anapenda unachopenda wewe?! Chupi zimejaa na zinanunuliwa kila siku, zote za kiume na za kike.

Bahati Mbaya niko nje ya nchi kwa sasa, na nimetembea madukani huku nje niliko, chupi zinauzwa sana kuliko hizo Boxer usemazo wewe.

Hata uki google chupi zip[o nyingi sana, unadhani zinatengenezwa ili zitupwe?.

Kuna watu Dunia kwenu ni Mbagala na Kariakoo.
 
Yategemea Ntu na Ntu kwani kwa upande wa Ke kuna wale wanaopenda wakitembea wawe wanavunja shingo za watu
hivyo lazima wasivae hizo Underskirt.

Ila wale waliokulia kwa kujizowesha kuvaa hivi wengi hawajaacha bado labda wale wapenda mambo ya kuiga hasa huku mijini na ndio sababu ukienda madukani bado zipo tofauti na hizo Pichu za Me.
Hata Chupi za kiume zipo nyingi sana.Kwanini za kike ziwepo na za kiume zisiwepo? Kuna watu wanaangalia movie wanadhani ndiyo maisha.
Bahati mbaya huwa natembea tembea huko nje, Nilikuwa South Korea, Nikanunua chupi zangu na mke wangu kanunua zake, Nilikuwa Marekani nimenunua, hata hizo boxer kwangu huwa nashindia ndani siwezi kuvaa boxer na suruali, naona natuna tuna kama mwanamke.
Google Dillards, Target, walmart, JCpenny, Kohls, au Amazon kote huko zipo chupi, yeye anaposema hapendi au havai haimaanishi chupi hazipo au hazivaliwi.

Nadhani ni kuiga vitu au kuwa swayed na matangazo ya bidhaa, mtu akadhani vilivyokuwepo sasa havifai au havitumiki.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom