Mpauko
R.I.P
- Jan 19, 2019
- 2,323
- 3,353
Mko poa?
Wakuu kwanini wanaume tulilikimbia hili vazi
Unakumbuka usumbufu au changamoto yoyote ya hili vazi?
Pia, kinadada underwear (anda) mlikimbia nini hapa, kwanini msilivae kwenye madera yenu mfiche chupi hizo. Nakumbuka mlikuwa makini kuhakikisha anda haichungulii chini ya sketi
Ya kale dhahabu, turudiie mavazi yetu pendwa
Au ndio hii nahau ilikosewa?