Kwanini TRA sasa hawatangazi mapato ya kikodi ya kila mwezi kama ulivyokuwa utaratibu?

..
Nchi zilizoendelea hazitangazi makusanyo ya kodi kila mwezi.
....bali kipi kufanyika ili uwazi wa kumjulisha mlipa kodi kiasi cha fedha kilichopatikana kwa kipindi fulani kupitia malipo ya kodi?
 
Nchi zilizoendelea hazitangazi makusanyo ya kodi kila mwezi.
Nchi yetu sio zile miongoni mwa zilizoendelea wale walioendelea waacheni na utaratibu wao wakutokutangaza ila sisi masikini nivizuri tukitangaziwa ili tujue kama tunapanda au tunashuka
 
Ni miezi kadhaa tangu vitambulisho vya wajasiria Mali wanyonge vitoke lakn no one care..😄😄😄
 
Nchi yetu sio zile miongoni mwa zilizoendelea wale walioendelea waacheni na utaratibu wao wakutokutangaza ila sisi masikini nivizuri tukitangaziwa ili tujue kama tunapanda au tunashuka
Ooops benz amepewa Mzee rukhsa dola ooops chijui Bit coin 400 million, lazima Watanzania mtapike tu mpende msipende.
 
Kote huko walipotangazaga makusanyo ya matrilioni kwa mwezi kuna kitu kiliongezekaga mfukoni kwako? Achana na blah blah za ofisi za watu, tafuta maisha nje ya keyboard.
We nae unaongea ujinga gani uliona mapato ya serikali yakaingia mfukoni mwa raia inamaana mpaka umri huo ulionao hujui matumizi ya kodi!!!??
 
Nchi zilizoendelea hazitangazi makusanyo ya kodi kila mwezi.
Nilikuwa nashangaa sana. Labda kama kulikuwa na lengo mahsusi ila kama ni sababu za kisiasa basi tulikosea sana.
Hata sisi raia wa kawaida tu, total earnings zetu ni siri yetu, halafu tunaibuka kutangaza mapato yote ya nchi? Hata pale kwenye website yao waondoe. Kuwe na taarifa za jumla jumla tu. Detailed reports za mapato kwa nchi sio kabisa. Mapato ya nchi hayana tofauti na military budget or capability.
 
Back
Top Bottom