Kwanini TRA msikate kodi kwa wanaoingia kwenye mitandao ya kijamii kama Uganda?..

FrankLutazamba

JF-Expert Member
Aug 9, 2018
449
408
Kusema kweli serikali inapoteza mapato ktk mitañdao ya kijamii,kwa nini isichukue mia moja au mia mbili ili tuchangie madawa,maji na huduma zingine.

Tuseme kweli kumbe uchumi mzuri maana hatukosekani online, na tuna makundi ya WhatsApp lukuki,sasa tumekosa nini tukichangia kama wafanyavo Uganda.
 
Mkuu unaijua indirect tax?

Unataka masikini masikio yachongoke zaidi?

Nauliza upo tz? Auarekani?

Ukiweka vocha vat ni aailimia ngapi?

Vitu vingine unaweza tu kuongea na mkeo mksmaliza huko huko sio kuleta pumba hapa
 
Unaweza Kuwa na wazo zuri ila umeshawah kujiuliza mtanzania wa kawaida how much he/she is paying for Tax?

To mention few
- Paye
- Withholding
- Vat
- Coporate Tax

Kukusaidia embu soma hyo attachment then ufanye reasoning kama we need more Taxes
 
Attachments

  • Taxes and Duties.pdf
    428.2 KB · Views: 44
Kusema kweli serikali inapoteza mapato ktk mitañdao ya kijamii,kwa nini isichukue mia moja au mia mbili ili tuchangie madawa,maji na huduma zingine.

Tuseme kweli kumbe uchumi mzuri maana hatukosekani online, n a tuna makundi ya WhatsApp lukuki,sasa tumekosa nini tukichangia kama wafanyavo Uganda.
Una undugu na jiwe nini ?
 
Msaga sumu
 
Sometimes idea mnazileta nyie ikiwa kweli mnakuwa wa kwanza kulalamika. Serikali yenu haipo mbali na jf usilisahau hilo
 
Kusema kweli serikali inapoteza mapato ktk mitañdao ya kijamii,kwa nini isichukue mia moja au mia mbili ili tuchangie madawa,maji na huduma zingine.

Tuseme kweli kumbe uchumi mzuri maana hatukosekani online, n a tuna makundi ya WhatsApp lukuki,sasa tumekosa nini tukichangia kama wafanyavo Uganda.
Dogo tunaponunua bundle tunakatwa 18% VAT bado unataka tukibrowse tukatwe kodi pumbavu zako
 
Back
Top Bottom