Kwanini Tosamaganga isiwe chuo kikuuu? Wakatoliki mko wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini Tosamaganga isiwe chuo kikuuu? Wakatoliki mko wapi?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Hute, Jun 17, 2012.

 1. Hute

  Hute JF-Expert Member

  #1
  Jun 17, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 6,062
  Likes Received: 3,928
  Trophy Points: 280
  KWA WALIOSOMA TOSA, au wale ambao wameshafika, majengo yake ni mazuri sana, kwanza ukiondoa yale mabati ya juu, ukapiga vigae vya udongo vyekundu, nyumba zile zinafanana sana na nyumba za desturi za ujengaji wa ulaya. majengo yale yalifananishwa kabisa na yale ya ulaya....ni pazuri sana.

  kwanini wakatoliki msiombe shule hii iliyokuwa yenu irudishwe kwenu kama ilivyorudishwa ile ya Mazengo, ili muweke chuo kikuu pale? sisi tunawaaminia....eneo lile ni zuri sana, alafu sio mbali saana na mjini iringa......mapadri na maaskofu mko wapi?
   
 2. kipipili

  kipipili JF-Expert Member

  #2
  Jun 17, 2012
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 1,499
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  tupo hapa
   
 3. S

  SolarPower JF-Expert Member

  #3
  Jun 17, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 226
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Binafsi siungi mkono wazo la Shule ya Tosamaganga kuwa Chuo Kikuu. Wazo lingekuwa kwa sisi tuliosoma Tosamaganga kuanzisha Tosamaganga University of science and Technology (si kwa kutumia majengo yaliyopo bali kutafuta eneo jipya na kujenga chuo kikuu) kwa kushirikiana na wananchi wa mkoa wa Iringa, mashirika ya Dini na Serikali kuu.
   
 4. Zux de

  Zux de JF-Expert Member

  #4
  Jun 20, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 227
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  hizi zote zitarudi ondoa shaka.
   
 5. Hute

  Hute JF-Expert Member

  #5
  Jun 21, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 6,062
  Likes Received: 3,928
  Trophy Points: 280
  yaani kama ni majengo tu, yanazidi ubora kuliko hata yale ya Tumaini university iringa, na majengo yale ni ya kihistoria, na ya utamaduni wa ulaya...safi sana hasa wakiondoa yale mabati wakaweka vigae vyekundu.
   
 6. The_Emperor

  The_Emperor JF-Expert Member

  #6
  Jun 21, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 884
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  HAPANA!HAPANA!HAPANA!Kukiongezwa chuo kingine huku Iringa,Ukimwi utaongezeka!
   
 7. TZ boy

  TZ boy JF-Expert Member

  #7
  Jun 21, 2012
  Joined: Jan 11, 2012
  Messages: 624
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 45
  Vp KIBITI
   
 8. majorbuyoya

  majorbuyoya JF-Expert Member

  #8
  Jun 21, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 1,815
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Aaagh!! Majengo yake yanafanana na yale ya ulaya kivipi?. Nani kasema kuwa nchi za ulaya zina style moja ya ujenzi?. Mimi siungi mkono suala la kuifanya secondary ya Tosamaganga iwe chuo, itakuwa ni muendelezo wa kujenga mivyuo mingi isiyo na kiwango ambapo matokeo yake tunatoa viongozi dhaifu dhaifu kama waliomo CCM.
   
 9. N

  Nyakwec's Bro JF-Expert Member

  #9
  Jun 22, 2012
  Joined: Apr 27, 2012
  Messages: 819
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Mkuu,pale bado wanamgogoro na jengo moja hivi lipo katikati ya tosa na ile shule ya msingi ya wasichana nimeisahau jina lake,serikali imegoma kuwarudishia jengo moja tu unadhani wanaweza kuwarudishia yote?.....
  kwa majengo yako bomba sana ila kupafanya chuo bado wawaache vijana wa sekondari tu waendelee kutesa Ipamba!.....
   
 10. Vodka

  Vodka JF-Expert Member

  #10
  Jun 23, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 909
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  hahahahaha umenichekesha sana mkuu
   
 11. Hute

  Hute JF-Expert Member

  #11
  Jun 23, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 6,062
  Likes Received: 3,928
  Trophy Points: 280
  lazima utakuwa graduate wa chuo kile cha morogoro wewe, mbona unaogopa sana elimu? vitabu sio sumu wala pilipili, pendeni shule jamani......kwani kwa wakatoliki mnafikiri hayo matatizo yenu ya kushindwa kuviboresha vyuo au shule yapo? wao wanajua namna ya kuboresha elimu bwanaaa, majengo yale ni kama ya ulaya ndiyo, kama umefika ulaya usingeuliza swali kama hili...ni mazuri kama ya kihistoria fulani hivi,...acha ubishi, penda shule bwamdogo! vyuo hivi tu tulivyonavyo hapa tz havitutoshi kabisa kulingana na idadi ya watz iliyopo, kuna wanafunzi wangapi wanaomaliza form six wanakosa vyuo kila mwaka?...hata kama si kutegemea bumu lakini kuna watu wengi tu siku hizi wanaweza kuwalipia wadogo zao chuo kikuuu......napenda hata tungekuwa na vyuo vikuu kila mkoa....
   
 12. K

  Kipilime Senior Member

  #12
  Jun 23, 2012
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 117
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Hoja yake ni rahishi kuilewa. Kifupi yale majengo waliyajenga wajerumani na design walizotumia ni kama za kwao Ujerumani. Na popote pale kwenye majengo ya Wajerumani wanajitahihi sana kuyafaninisha na ya kwao Ujerumani. Nenda Peramiho, Ndanda, Kigonsera, Likonde na penginepo utaona huko kufanana. Kwa hiyo usibishe tu madamu unabisha.

  Wazo ni zuri sana la kuichukua Tosamaganga Secondary lakini, kanisa linazingatia sana mgawanyo wa elimu sawa kwa watanzania wote. Mfano Iringa tayari chuo kipo na kinaendelea vizuri. Msisitizo sasa ni Mikoa ya Singida, Dodoma, Lindi, Mtwara, Sumbawanga na Kigoma ambako bado hawajapata fursa za huduma ya elimu ya juu.
   
 13. Mbimbinho

  Mbimbinho JF-Expert Member

  #13
  Jun 23, 2012
  Joined: Aug 1, 2009
  Messages: 6,027
  Likes Received: 2,868
  Trophy Points: 280
  Mbona vipo vingi tu huko??
   
 14. Mupirocin

  Mupirocin JF-Expert Member

  #14
  Jun 23, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,596
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  shule ya wasichana, unazungumzia Lyalamo? Coz ndo ilyopo karibu.
  Majengo yale yalijengwa na wajerumani na ndo maana ukija Peramiho, Ndanda, kigonsera na kwingineko ambako Mjerumani alipita utaona majengo yanafanana sana.
  Nafikiri maaskofu wanasikia ingawa chuo tayari kipo may be wanaweza fikiri another options. Lakini wakitaka waanze kurudisha majengo yao serikali itabaki masikini zaidi, na hawa wezetu ndo watapiga kelele mpaka mapovu yawatoke mdomoni. Sema serikali inayamissuse sana majengo yaliyojengwa na kanisa katoliki any sijui ya madhehebu mengine coz sijaona ninayoyaona mengi ni ya RC
   
 15. N

  Nyakwec's Bro JF-Expert Member

  #15
  Jun 26, 2012
  Joined: Apr 27, 2012
  Messages: 819
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  yap ni kweli kaka hiyo shule nimaanisha Lyalamo,nashukuru kwa kunikumbusha...
   
 16. daudthefarmer

  daudthefarmer JF-Expert Member

  #16
  Jun 28, 2017
  Joined: Apr 30, 2016
  Messages: 3,451
  Likes Received: 3,762
  Trophy Points: 280
  Hahaha
   
 17. daudthefarmer

  daudthefarmer JF-Expert Member

  #17
  Jun 28, 2017
  Joined: Apr 30, 2016
  Messages: 3,451
  Likes Received: 3,762
  Trophy Points: 280
  Lupalama pale posta umepasahau
   
 18. Shombe la Kisomali

  Shombe la Kisomali JF-Expert Member

  #18
  Jun 28, 2017
  Joined: Jun 5, 2017
  Messages: 1,600
  Likes Received: 704
  Trophy Points: 280
  Weka picha Tafadhari, wengine hatuifahamu hyo shule
   
Loading...