Kwanini Timu Mbalimbali hazivutiwi kuja Dar kushiriki Simba Day?

Makorokoro day imechacha, warudi katika timu za Rwanda, Kenya, Uganda au Burundi
Nasikia wametoa ratiba ya ligi kuu Congo, ETi tarehe 19 tp mazembe wako na mechi ya ligi. sasa sijui watajigawa vipi?
 
Nasikia wakigonga mwamba na hapo huenda wakatuletea Wa-Afrika wenzetu eti. .Kwani hao uliowataja sio waafrika mkuu umetoka mbinga lini?
Hiyo ni code! Wachache sana hasa wanamichezo ndio walio elewa.
 
Typical Utopolo. Hizo rankings kama hazina maana mbona povu linakutoka sasa.Unadhani Simba kuanzia round ya pili sawa na Al ahly na kina Mamelod,Mazembe,Wydad na Wababe wengie wa Afrika imekuja bure bure tu.

Pambana kwanza Jumapili,maana mpaka tukutane tar 25 utakuwa tayari Out CL
Nikiona mtu anazizingatia ndipo ninapo toa povu haswa....kwa sababu ni rankings za upuuzi.
 
Uto hebu pambana basi Jumapili kwanza,wadogo siku zote wanaanzia kindergaten
Tuna anza kesho hayo maandalizi mtani//

Haji Manara atazungumza na Tanzania .

Kaa karibu na redio yako.
 
Tuna anza kesho hayo maandalizi mtani//

Haji Manara atazungumza na Tanzania .

Kaa karibu na redio yako.

Mtani,naomba unieleweshe tofauti ya majukumu kati ya Bumbuli na Manara.Nauliza hivyo sababu Manara ametambulishwa kama Msemaji ya Club wakati Bumbuli ni Afisa Habari wa Club.
 
CAF Official Clubs Ranking (5-year ranking)
Viwango vya club mwa miaka 5

1. Al Ahly
2. EspΓ©rance
3. Wydad Casablanca
4. Raja Casablanca
5. Zamalek
6. Mamelodi Sundowns
7. TP Mazembe
8. RS Berkane
9. Horoya
10. Etoile Sahel
11. Pyramids
12. Simba
13. AS Vita
14. Kaizer Chiefs
15. Enyimba
16. JS Kabylie


π“π”πˆπ“π€π…π”π“π„ π˜π€ππ†π€ 𝐒𝐀𝐒𝐀
17. Al Hilal
18. CS Sfaxien
19. MC Alger
20. Hassania Agadir
21. 1Β° de Agosto
22. Orlando Pirates
23. Coton Sport
24. CR Belouizdad
25. Al Masry
26. ES Setif
27. USM Alger
28. Zesco United
29. Nkana
30. Zanaco
31. El Nasr
32. FC Platinum
33. Rangers
34. Al Merreikh
35. JS Saoura
36. Lobi Stars
37. ASEC Mimosas
38. KCCA FC
39. DJoliba
40. Teungueth

ππˆπŒπ„π‚π‡πŽπŠπ€
41
42
43
44
45
46
47
48
49
50
ππ€πƒπŽ π’πˆπ–π€πŽππˆ π–π€ππŽ πŠπ–π„π‹πˆ
51
52
53
54
55
56
57
58
59
60
πŠπ‡π€π€π€π€π€ π–π€πŠπˆπ‡πˆπ’π“πŽπ‘πˆπ€ π‡π€π–π€ππŽ
61
62
63
64
65
66
67
68
69
πŒπ€π–π„π„π„ ππ€πƒπŽ 𝐓𝐔??
70. Young Africans
 
Back
Top Bottom