Kwanini TFF imeruhusu Simba kusajili makocha vihiyo?

Gomez na diploma yake anakusanya vikombe tuu, nyie na profesa wenu mshaanza kulialia hata kabla ligi haijaanza.
Wala usimsifu sana kocha, sifu viongozi na wanachama wa Simba baada ya kukubali mabadiliko haraka, wakawa na uwezo wakusajari wachezaji wanaoona ni wazuri sana, kama Chama,Luis na wengine wengi. Wala Gomes hana kazi kubwa sana, maanakishingo aliiachatimu na wachezaji wake walewale.
 
Zamani mtu aliemaliza darasa la saba aliweza kusomea kozi ya ualimu Na kupewa cheti Cha ualimu Na kuwa mwalimu kamili lakini Kwa sasa ili uwe mwalimu angalau ufaulu kidato Cha nne wa darasa la saba anatakiwa asome tu lakini bado ni mwalimu ndio kilichotokea Kwa Gomes Na Matola
Waliitwa walimu wa UPE, uwalimu pasipo elimu
 
Makocha wote wa Simba Gomez na Matola hawakuwa na sifa za kuwa makocha wa timu kubwa kama Simba kwa mujibu wa mashindano ya CAF na FIFA hadi hadi kulazimika kuzuiliwa na CAF kwenye mashindano yake.

Swali hapa ni je, TFF yetu hawazijui kwa kiasi gani sheria na kanuni za CAF na FIFA? Na kama wanazifahamu zote ni kwanini imewawia vigumu kuwazuia Gomez na Matola kufanya kazi Simba kutokana na vyeti vyao kuwa hafifu?

Tukio hili limeimbua Simba na TFF kwa pamoja, linapigilia msumari wa mwisho kwenye uthibitisho wa tuhuma za Karia na TFF kuipendelea sana Simba kiasi Cha kushindwa hata kuionya na kuikatalia chochote.

Tunaunganisha dots za viporo vya Simba, ratiba rafiki za Simba kwenye ligi, adhabu za Yanga na uhamisho wa Morrison.
Pole. Mwana utopolo ni hivi CAF wamebadilisha tu vigezo mwaka huu wa michezo unao anza ndio maana awamu zilizopita matola gomez walikua wanakaa bench la ufundi
 
Mmeanza kulalamika badala ya kuandaa timu!
Nawakumbusha kuwa muandae malalamiko ya kutosha kwa aibu mtakayoileta kwa taifa mtakapokutana na Rivers united
 
Mmeanza kulalamika badala ya kuandaa timu!
Nawakumbusha kuwa muandae malalamiko ya kutosha kwa aibu mtakayoileta kwa taifa mtakapokutana na Rivers united
Hicho ulichoandika hakiifuti aibu ya Simba na Gomez kwa wachezaji na mashabiki na TFF. TFF isiruhusu makocha ambao hawana sifa waje nchini kuchukua nafasi za wazawa
 
Ukweli ndio huo wanajiita team kubwa lakini makocha wao ni la saba c.
Matola ndio kabisa hafai hata kufundisha team za mtaani.
 
Hii aibu huwezi kuificha kwa aina hiyo. Gomez kibarua Simba kimeishia hapo kwa aibu na hatapenda kuwa kwenye benchi. Prof Nabi Yuko tayari kumfundisha hadi afuzu.

Kwanini TFF? TFF inaingia hapa kwa kuruhusu makocha wa kigeni wenye sifa hafifu kufanyakazi Tanzania hasa kwenye timu kubwa ambazo zinatoa wachezaji wa timu ya taifa. Wachezaji wetu wa taifa stars wanategemea kupata mbinu na uwezo wa mpira kutoka kwenye club zao, hivyo inakuwa garbage in garbage out.

Ona Prof. Nabi alivyombadilisha na kuformat kichwa na uwezo wa Fei Toto hadi akawa msaada kwa timu ya taifa. Gomez anapata matokeo kwa kutumia coincidence ya wachezaji kukaa pamoja kwa muda mrefu, wachezaji kupata mbinu kutoka kwa Sven na ausseum, mo kuleta wachezaji wazuri na TFF kuwa nyuma ya Simba. Gomez ana fluke TU kupata matokeo
Uyo kocha wa utopolo ni noma naona sarpong pia alibadirika ,chimbi pia alibadirika ya nabi ni balaa
 
Pole. Mwana utopolo ni hivi CAF wamebadilisha tu vigezo mwaka huu wa michezo unao anza ndio maana awamu zilizopita matola gomez walikua wanakaa bench la ufundi
Madiliko hayo mbona hayakuwaadhiri makocha wa Yanga, Azam, Biashara united na KMKM?
 
Saa moja jioni leo tutajua mbivu na mbichi,asante Biashara na Azam kuliheshimisha Taifa.
Timu kufungwa haimaanishi kuwa kocha hana sifa. Zipo sababu nyingine zinazoweza kusababisha Yanga ifungwe Leo pamoja na kuwa na kocha mzuri, zikiwemo sababu za.
1. Kuzuiwa wachezaji wake 3 muhimu kucheza.
2. Maandalizi hafifu ya preseason
3. Timu kuwa na wachezaji wengi wapya.
4. Uwezo binafsi wa wachezaji dhidi ya wachezaji wa timu pinzani.
5. Motisha/comfortability kwa wachezaji.
6. Makosa ya uchezeshaji uwanjani.

Ndio maana hata Mourinho, Guardiola wanafungwa. Ila kwa Simba makocha wote hawana sifa, matokeo vwaliokuwa wanayapata ni kwaajili ya hizo sababu nyingine.
 
Makocha wote wa Simba Gomez na Matola hawakuwa na sifa za kuwa makocha wa timu kubwa kama Simba kwa mujibu wa mashindano ya CAF na FIFA hadi hadi kulazimika kuzuiliwa na CAF kwenye mashindano yake.

Swali hapa ni je, TFF yetu hawazijui kwa kiasi gani sheria na kanuni za CAF na FIFA? Na kama wanazifahamu zote ni kwanini imewawia vigumu kuwazuia Gomez na Matola kufanya kazi Simba kutokana na vyeti vyao kuwa hafifu?

Tukio hili limeimbua Simba na TFF kwa pamoja, linapigilia msumari wa mwisho kwenye uthibitisho wa tuhuma za Karia na TFF kuipendelea sana Simba kiasi Cha kushindwa hata kuionya na kuikatalia chochote.

Tunaunganisha dots za viporo vya Simba, ratiba rafiki za Simba kwenye ligi, adhabu za Yanga na uhamisho wa Morrison.
Kwa nini wewe mods wameruhusu bandiko licha ya kuandika vibaya heading?

"VIHIVYO"
 
Timu kufungwa haimaanishi kuwa kocha hana sifa. Zipo sababu nyingine zinazoweza kusababisha Yanga ifungwe Leo pamoja na kuwa na kocha mzuri, zikiwemo sababu za.
1. Kuzuiwa wachezaji wake 3 muhimu kucheza.
2. Maandalizi hafifu ya preseason
3. Timu kuwa na wachezaji wengi wapya.
4. Uwezo binafsi wa wachezaji dhidi ya wachezaji wa timu pinzani.
5. Motisha/comfortability kwa wachezaji.
6. Makosa ya uchezeshaji uwanjani.

Ndio maana hata Mourinho, Guardiola wanafungwa. Ila kwa Simba makocha wote hawana sifa, matokeo vwaliokuwa wanayapata ni kwaajili ya hizo sababu nyingine.
Mmeshaanza kutafuta visingizio
 
Kwenye press ya kukaribishwa msukule aliwaambia muache kalalamika,uliza kwanza kabla ya malalamiko.
Naomba nikuulize, au yeyote anayefahamu anisaidie kuelewa.. KWANINI KOCHA WA SIMBA HATAKAA BENCHI LA UFUNDI LA SIMBA KWENYE YE MASHINDANO!?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom