Kwanini teknolojia ambazo si biashara hupingwa mfano wa umeme unaojizalisha wenyewe bila kutumia nishati yoyote tunazo zifahamu

Kwa akili yako, unaamini kuwa waweza kufua nishati bila ya kuwa na chanzo cha nishati?

Ndio inawezekana niliwahi Jaribu nikiwa mtoto. Kuna Mamb yaligoma na nikahis haiwezekani. Nikasema kama ingewezekana basi dunia ingefanya. Leo nimegundua nilkuwa sawa.
 
Ili hii kitu ifanye kazi lazima kuwe na chanzo kingine Cha umeme kitumike Kama starter ya motor,
Unawasha motor iliyokuwa couple na hiyo motor(generator), shaft likiattain speed ya kutosha motor(generator) inatoa umeme,unauunganisha kwenye motor ya mwanzo kureplace ile supply ya mwanzo

Yes
 
Teknolojia ni ngumu sana kuelewa.na wapingaji ni wengi wakati wakivitumia
Ndugu yangu unapinga vitu ambavyo ni fact and well proven.. huwezi pata nishati bila ya kuwa na source nyingine ya nishati... hata umeme wa jua ama solar power unaweza pinga kuwa unajizalisha hilo jua hapo ndiyo nishati.. hizo mashine zinazozunguka lazima kuna kani zinatumika kuzizungusha.. pia kutoka 120 to 500V hiyo ni conversion tu ya potential from low to high.. still ni nishati to nishati... Physics ulisomea wapi na je ulielewa ile topic ndogo tu ya f3 ya electricity!! Kanuni ni zilezile hazibadiliki
 
Udadisi ndio kila kitu, wanaopinga hawajawahi kuwaza hili.. Baada ga miaka Ishirini kadhaa leo nakutana na mtu mwenye mawazo kama yangu ya utotoni.

Ni hivi ktk ukuaji wetu tulikua tunajiwekea umrme magetoni na wazazi wanatushangaa. Vifaa tulivyokua tunatumia ni Dynamo ya Baiskeli na mifuniko ya ndoo tunayoichonga kama feni then tunaweka katika mti mrefu kueleekea upepo ili upepo unapozungusha panga letu basi na dynamoo tuliyoifunga nayo inazunguka ndani tunapata mwanga wa glopu.

Nikawaga nawaza hivi nikipata mota itakayokua inaizungusha Dynamoo kwakiwango chakuzalisha umeme na mota hiyohiyo ikapata umeme wa dynamo kagika kujiendesha.. inshort sikufanikiwa kwenye hilo na utafit wangu ukaishia huko huko.

Nikakutana na jenereta la umeme kiskuli huku tukiwa na machine ya kusaga inayotumia mafuta, nakakumbuka mawazo yangu ya hivi hatuwezi kulionganisha jebereta kwenye Motor ya machine then tuweke machanism ya motor inapozunguka iizungushe na jeneretor ili umeme ubaki bila kutumia engine ya genereta.. napo nikabaki na mawazoo yangu kichwani.

Kwa andiko la leo nadhani hikis kitu kinawezekana ila kinahitaji uangalizi wa karibu na katika kupata chanzo hapo nishat mbadala haitakwepeka iwe ya mafuta upepo hata damu.
Sasa unachozungumza hapa si ndo hichohicho wadau wanapingana na mleta mada key point hapa ili upate nishati lazima uwe na nishati nyingine hata ya aina tofauti... hapo wind tayari ni form ya nishati kinachofanyika unaweza tu kufanya cinversion kutoka aina moja ya nishati kwenda nyingine... kwa mfano solar to electric... ama lugha laini mechanical energy to electrical n.k
 
Motor haina electrical output,output ya motor ni mechanical ,motor inaconvert electrical kwenda mechanical,na sina hakika kama hiyo concept yako ya kuconvert ac to dc kwa kufanya shaft coupling ya motor_generator ni sawa ,Ac to Dc conversion huwa inakuwa achieved na RECTIFIER ,

Hata hivyo ili motor itoe electrical output unafanya kinyume badala ya kusupply umeme wewe unazungusha shaft,(unaaply mechanical energy) lakini kwa condition moja tu ,ndani ya hiyo motor lazima na vitu viwili
1. Usumaku (yaani either rotor au starter iwe na usumaku)
2. Uwe na winding inayoweza kuambukizwa umeme usumaku ukizungushwa

Asante
Kaka Kwanza kabisa hauna experience katika electrical engineering field. Mimi Nina diploma ya electrical and electronic engineering na pia Nina bachelor degree ya electrical and electronic engineering na pia nina experience. Sasa Kuna kitu kinaitwa motor generator set yani katika zile picha kunakua na machine mbili yani Kuna motor na generator Sasa hapo Kuna motor inatoa mzunguko kwenye shaft inaunganishwa inakwenda kuzungulusha armeture winding za generator then conversation inatokea. Usikariri lazima uwe na rectifier. NENDA UKA GOOGLE KITU KINAITWA MOTOR GENERATOR SET UTAELEWA. Yani Kuna motor generator set ya ac to dc na motor generator set ya dc to ac. Hayo masuala ya rectifiers na inverter ni modern technology Ila miaka ya nyuma ilikua wanatumia motor generator set kwa ajili ya conversion.
Thanks!
 
Soma kichwa cha habari ulivyo andika ndo utaelewa umekosea wapi?
Mana hapo tayari Kuna nishati ambayo imekuwa stored katika bettry ndo inatumika kuzalisha nishati kwa kuzungusha motor ambayo imekuwa coupled na generator ambalo linazalisha umeme,

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa huo umeme unaozalishwa na generator/ dynamo hauwezi kurudishwa ukaendesha motor battery ikaendelea kuchajiwa?
 
Hizo mashine umeziona na zinapigwa vikali
Chief hili mbona dogo sana kulitambua kama haliwezekani.

Hiyo mota inayozunguka, inawezaje kuzunguka ? Ukishajua kwanini basi umeshajua chanzo kisha mengine yatafata. Maana yake mpaka inazunguka na kutoa nishati ujue hapo kuna mchakato wenye sababu, kisha hiyo nishati inatumika kwenye hiyo mota nyingine.

Sasa unapotuambia hivyo ni sawa na kutuambia ya kuwa nyumba fulani imeitengeneza myumba ile ?
 
Sasa huo umeme unaozalishwa na generator/ dynamo hauwezi kurudishwa ukaendesha motor battery ikaendelea kuchajiwa?
Kuna kitu kinaitwa efficiency yani input hawezi kuwa sawa na output mfano utumie motor generator set ya ac to ac kinachoingia ni ac alafu kinachotoka ni ac pia Sasa mfano ilingia 220Vac kwenye motor na kwenye generator ikatoka 180Vac lazima uwe na transformer ili ku step up ili iwe Tena 220Vac. Lakini initiator mkubwa ni motor na lazima awe na supply.
Sasa hapo uki switch off system huwezi kuwasha mpaka uwe na external power ya kuwasha Motor
 
Yapo mengi tu
JamiiForums1009888674.jpg
 
Kuna kitu kinaitwa efficiency yani input hawezi kuwa sawa na output mfano utumie motor generator set ya ac to ac kinachoingia ni ac alafu kinachotoka ni ac pia Sasa mfano ilingia 220Vac kwenye motor na kwenye generator ikatoka 180Vac lazima uwe na transformer ili ku step up ili iwe Tena 220Vac

Bora wewe unaumiza kichwa na kujenga hoja, hongera.
Turudi kwenye mjadala.
Nakubaliana kabisa nawewe kwamba haitakua rahisi kama tunavyoongea hapa ila naomba nitoe maelezo kidogo...

Kwanza, motor haitaenda kavu kavu kuzungusha generator ( dynamo) itakua na mechanism ya kuiongezea nguvu ( mechanical) hii inaweza kuwa gear au mkanda.

Pili lazima ziwepo circuit za kuratibu huo mchanganyiko na muingiliano wa umeme ikiwepo mabadiliko ya ac/dc.

Kimsingi nakubaliana na wewe kwamba utaalam zaidi utahitajika. Swali ni Je, hili wazo linawezafanyiwa kazi likaleta matokeo chanya?

N.B

Mie ni leyman
 
 
Bora wewe unaumiza kichwa na kujenga hoja, hongera.
Turudi kwenye mjadala.
Nakubaliana kabisa nawewe kwamba haitakua rahisi kama tunavyoongea hapa ila naomba nitoe maelezo kidogo...

Kwanza, motor haitaenda kavu kavu kuzungusha generator ( dynamo) itakua na mechanism ya kuiongezea nguvu ( mechanical) hii inaweza kuwa gear au mkanda.

Pili lazima ziwepo circuit za kuratibu huo mchanganyiko na muingiliano wa umeme ikiwepo mabadiliko ya ac/dc.

Kimsingi nakubaliana na wewe kwamba utaalam zaidi utahitajika. Swali ni Je, hili wazo linawezafanyiwa kazi likaleta matokeo chanya?

N.B

Mie ni leyman
Upo sawa kabisa
 
Siri gani ambayo na jaribu kufikilia kwangu, kila siku tuna somesha watu ila baada ya kuvuna tuliyo somesha tunavuna siasa na IQ za kuojiwa na masanja.

Kuna teknolojia nyingi ambazo dunia kama uzipinga,labda itakuja hasara kupata mapato na baishara.
Mfano mkubwa wa jenereta inayofua umeme bila kutumia mafuta, maji kwa ajili ya kusukuma au nguvu ya nyuklia na n.k

Hizi zote utumia mabilioni ya pesa na wataalamu wakila idara ilikupata nishati ya umeme.

Umeme unao jifua wenyewe ni wakushangaza sana huwezi kuisha uwezi kusema maji, mafuta sijui nini labda ukate waya tu

View attachment 1648990

Teknolojia hii kiutaalamu utengenezwa na mota ya kuzunguka + mota ya kuzalisha umeme.ambapo mekanizimu ya hiyo kama mota inaweza kuzunguka kwa volti 120 ikizungusha moto ya kuzaa umeme ikatoa umeme volt 500

Mota ya kutoa umeme A=500volt
mota ya kuzunguka B=120volt
A-B=(kuna mashine ya kuchakata na kutenganisha umeme ubaki na umeme wako) ambapo unapata 380 volt

Wataalamu wa umeme
View attachment 1648998
View attachment 1648999
View attachment 1649000

Wanazengo tujadili
Umesema kweli. Nakumbuka nikiwa mdogo shule ya msingi, niliwaza sana kuhusu kitu cha namna hii. Nikawaza unaweza kutengeneza kifaa cha umeme kinachoweza kuzalisha umeme. Kitahitaji umeme kwaajili ya kuwashia kwa mara ya kwamza tu baada ya hapo kitajiendesha kwa kufanya cirle. Hili wazo sijui hata lilipotelea wapi maana hata sijawahi kujaribu kwakuwa mamlaka hazikawii kukutiisha.
 
Nimewahi kutana na vilaza wengi..
Lakini mtoa mada inawezekana ni kiongozi mwandamizi wa vilaza

Eti wanapinga, ukimuuliza hao wanaopinga ni akina nani sijui kama ana majibu.

Hizi story huwa nazikuta mtaani kwa wale jamaa walioishia la 7, kuna mmoja nikamkuta kakaza kabisa mishipa ya shingo eti kuna mtu aligundua gari linatumia maji..then jamaa walimuua et angesababisha mafuta yakose soko.

Yule jamaa nilimwambia kutoenda kwako shule,usitupe shida wengine!
 
Siri gani ambayo na jaribu kufikilia kwangu, kila siku tuna somesha watu ila baada ya kuvuna tuliyo somesha tunavuna siasa na IQ za kuojiwa na masanja.

Kuna teknolojia nyingi ambazo dunia kama uzipinga,labda itakuja hasara kupata mapato na baishara.
Mfano mkubwa wa jenereta inayofua umeme bila kutumia mafuta, maji kwa ajili ya kusukuma au nguvu ya nyuklia na n.k

Hizi zote utumia mabilioni ya pesa na wataalamu wakila idara ilikupata nishati ya umeme.

Umeme unao jifua wenyewe ni wakushangaza sana huwezi kuisha uwezi kusema maji, mafuta sijui nini labda ukate waya tu

View attachment 1648990

Teknolojia hii kiutaalamu utengenezwa na mota ya kuzunguka + mota ya kuzalisha umeme.ambapo mekanizimu ya hiyo kama mota inaweza kuzunguka kwa volti 120 ikizungusha moto ya kuzaa umeme ikatoa umeme volt 500

Mota ya kutoa umeme A=500volt
mota ya kuzunguka B=120volt
A-B=(kuna mashine ya kuchakata na kutenganisha umeme ubaki na umeme wako) ambapo unapata 380 volt

Wataalamu wa umeme
View attachment 1648998
View attachment 1648999
View attachment 1649000

Wanazengo tujadili
Energy cannot be created or destroyed. It can only be changed from one form to another." ~~Albert Einstein.


Itakuwa hujacheza na umeme sana ...unaweza ongeza volt ila sio current au overall power ...afu mota au load hautumii volt ati useme zitabaki volt flani inamaana ukiweka mota ya volt tatu kwenye source ya 5v sitabaki volt 2🤔 .

Nishakuwa na wazo hilo miaka kadhaa nyuma niliwasa tengeneza gari ya umeme isioisha ...kwamba nguvu itakayotumia wakat inatembea ..hasi kwenye matairi nitafunga mota zingne zitafua umeme zirudishe kwenye battery so result ingekuwa naenda popote 😁 i was very iduot at a time niliamin kabisa inawezekana
 
Back
Top Bottom