thetallest
JF-Expert Member
- Oct 21, 2017
- 8,256
- 9,085
Sasa, lete yako yenye mashiko tuisadikiHii story yako imekosa mashiko kabisa na unajaribu kuwavuruga watu wasijaribu hata kuuhisi ukweli wa tukio au unajaribu kuwavuruga watu wasipatwe na hisia hasi juu ya mkulu.
Hebu twende taratibu uone kama hata wewe haujaikataa story yako. Umesema aliyetumbuliwa ana bifu na makamu, okay, kama ametumbuliwa means katumbuliwa na rais hivyo makamu na mheshimiwa rais lao ni moja, ok? Sasa inakuwaje TBC waamue kusimama na yule jamaa dhidi ya rais na makamu wake? Ana nguvu kiasi gani huyu jamaa?
Hii story yako imekosa mashiko, imekosa miguu, imekosa hata makalio. Inadundadunda tu.