Elections 2010 Kwanini TBC hawakumkatia Mkapa matangazo??!

JokaKuu

Platinum Member
Jul 31, 2006
30,269
54,662
..nimeshangazwa na kitendo cha TBC kumuacha Mkapa atoe maneno machafu-machafu ambayo hayastahili wakati wa kampeni au kusikilizwa na watoto.

..kwanini TBC hawakumkatia matangazo kama walivyofanya kwenye mkutano wa ufunguzi wa Chadema?

..shame on TBC!!!
 
Jana niliona ka-kipindi kao wakokapachika jina "Haikuwa raisi" Tido alikiri wao ndio walikuwa wanafanya maamuzi ya kukata matangazo;
utafikiri waliitwa kama si kumbelembele chao kuonesha eti wako fair; kumbe wanatafuta posho tu.
 
hii tv jamani ni ya wananchi au ya ccm....vyombo vya habari vimechakaqchuliwa, uchaguzi umechakchulwa .............tanzania siju tunakwenda wapi.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom