kwa sababu hakuna sheria inayokataza hilo
Bunge linafanya nini kwa swala hili na wizara ya fedha inasemaje? Na wanamchi wana mpango gani na swala hili?
wengine wanasema ni soko huria.........kumbe ni holela........kutumia dola nayo ni sababu inayoifanya thamani ya shilingi kushuka.....Bunge linafanya nini kwa swala hili na wizara ya fedha inasemaje? Na wanamchi wana mpango gani na swala hili?
Iki default kwenye madeni yake nadhani na ikiwa wameshindwa kulipa mishahara ya wafanyakazi,bajeti nk.I stand to be corrected.Hivi ni wakati gani........nchi ina-declare KUFILISIKA?..........naomba kuelimishwa.........
We r still in colonialism guykwa sababu hakuna sheria inayokataza hilo
Huna hata haya, wala hujui vibaya. Ni wapi ulipoona nimesema hiyo ni bongo au Tanzania?Wee Faizafoxy acha kutudanganya usidhani sisi ni watoto kihivyo. Ona, kazi kucopy and paste tu, sijui huo mkaratasi umeuokotea wapi, maana hata sio bongo. hamna lolote upuuzi tuu.