Kwanini Tanzania visiwani na wao wasipeleke timu champions league?

Ni jambo le Kheri kwa Taifa kwakua sasa Tanzania inatoa timu 4 kushiriki mashindano ya kimataifa
Mbili Club bingwa na mbili Shirikisho.

Lakini nafasi hizi zote zinachukuliwa na timu za Tanzania bara japokua Visiwani pia kuna ligi na kuna timu zilizo serious ambazo zina uwezo kuliko hizi za huku ambazo hutegemea Clabu ya Simba pekee ikafanye maajabu Club bingwa ili wao waserereke .

Hivyo hizi nafasi mbili za clabu bingwa moja aende bingwa wa ligi kuu Tanzania bara alafu moja aende bingwa wa ligi ya Visiwani.

Alaf huko shirikisho ipigwe mwechi kati ya alie shila nafasi ya pili na watatu ili apatikane alie serious zaidi aende na bingwa wa FA .

Kama ikitokea Bingwa wa FA akawa ndio bingwa wa ligi basi yeye bingwa ndio apewe fulsa ya kuchagua ni nani aende kama ni Namungo ,Mwadui Coastal Ndanda sawa tu,,!
Nyamaza ufiche upumbavu wako.
Michezo siyo mambo ya muungano.
 
Back
Top Bottom