Kwanini Tanzania Rwanda Uganda na Kenya zisiombe uenyeji AFCON 2019

Negrodemus

JF-Expert Member
Dec 30, 2010
2,316
677
Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limeamua kuwa, fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2019 zilizopangwa kufanyika #Cameroon, hazitofanyika tena nchini humo kutokana na sababu za kiusalama. CAF imealika nchi nyingine kutuma maombi, na nchi mwenyeji itatangazwa Disemba 31. Swahili Times on Twitter

Kwa habari hii iliyotolewa ni wakati wa TFF kukaa na vyama vya mipira jirani kuomba wenyeji wa mashindano haya kutokana na hali inayoendelea huko Cameroon.
Na hii ndiyo mikakati ya kukaa na kupanga diyo kila siku wanawaza watakula vipi hela.
 
Back
Top Bottom