Kwanini Tanzania inahujumu undugu Afrika ya Mashariki?

Tanzania imejaa mafukara. Watanzania wengi huishi katika nyumba za tope zilizoezekwa na nyasi. Sidhani kama wengine wamewahi ona bati maishani mwao. Very ugly houses in the villages

Jana nimesafiri toka Dar kuja Mombasa kwa Bus,
Kuanzia pale Rungarunga hadi Ukunda niliyoyaona sitasahau,
Hivi Sasa niko Mombasa mama, Kwakweli Mungu atusaidie Waafrica. Tanzania side is poor as well but this is too much.
 
Tanzania imejaa mafukara. Watanzania wengi huishi katika nyumba za tope zilizoezekwa na nyasi. Sidhani kama wengine wamewahi ona bati maishani mwao. Very ugly houses in the villages
nyie ni manyan´gau tu,tz huijui vizuri wew, hamna hata aibu watu wanakufa kwa njaa huku mnasema nyie mna uchumi mkubwa
 
Hivi kati ya Tanzania na Kenya wapi kuna mafukara wa kutupwa au majengo ya kina Kenyatta na baadhi ya wanasiasa na wazungu wote mnajiona tayari matajiri.
Wa bongo lala ni fukara wa mali akili elimu yaani everything thus why hawajiamini na hawapendi eac sasa wanaojitutumuaga humu jukwaani kuweni na aibu
 
Bro, umespend muda mwingi sana kucrash our Father of the Nation and our ideologies . And who told you if we fully integrate into EAC will solve our issues?

Let us be clear to you and whoever thinks like you, Tanzania is a sovereign state and the obligation is to Tanzanians first.......... hatuko tayari kuwa pushed, hii EA Federation tunaenda nayo pole pole bwana, let us prepare our children, our systems kwanza.

We are the most resourseful and mouth-watering nation in the block, our economic strides are potent na tutaingia siku tukiwa tayari not otherwise. Msitusukume sukume kwani what agenda have you got behind doors?

And kwa taarifa yako hakuna EAC bila Tanzania, afterall nakushangaa my bother, progress ipo vizuri ndo mana integration is moving in stages, yes sisi tuko bullish and slow kwan tunawahi wapi na hii EAC kuopen our borders kirahisi while we have our own issues to harmonize.

Usilazimishe haraka hii ndoa, acha tupendane kwanza them tutaoa tu. Learn to treat your fellow country men with honor and respect kwanza then ndo uwaze ya TZ. Hatuko tayari kuwa joined with you until you are civilized.
Kwa hiyo hujui kuwahi kuta spur maendeleo kwa kasi,si ajabu nchi ni ldc miaka nenda rudi kwa vile hamna haraka,unazakiwa maskini unakuta maskini yaani kizazi hadi kizazi mnachorithishana ni umaskini,msingi wa hofu kwa Kenya ni upi?
 
Tanzania haina hofu ya Kenya hata kidogo bro, hii topic imelenga kutulaumu kwamba tunahujumu EAC. Kwa hizi attitudes zenu hatutakuja kuungana hata siku moja my brothers. Kama nyie wakenya mnaona ni matajiri au mmeendelea sana basi endeleeni mbele mtuache, why bother? we are not your concern.
 
Aliropoka nahisi,yaani Kenya napo ulaya? itafakar kenya yako vizur

Ahaaa haaa haaa
Nilichogundua humu jukwaani, tunaongea na waKenya wenye very limited exposure. Yaani Kenya inaitwa Ulaya simply because kuna regional hq office for Microsoft.
Teh teh teh tihiii
 
Tanzania haina hofu ya Kenya hata kidogo bro, hii topic imelenga kutulaumu kwamba tunahujumu EAC. Kwa hizi attitudes zenu hatutakuja kuungana hata siku moja my brothers. Kama nyie wakenya mnaona ni matajiri au mmeendelea sana basi endeleeni mbele mtuache, why bother? we are not your concern.
Imagine na kuku mmoja anasema sisi tunaihofia kenya.

Sijui anafikiria kwa namna gani!!!
 
Kwa hiyo hujui kuwahi kuta spur maendeleo kwa kasi,si ajabu nchi ni ldc miaka nenda rudi kwa vile hamna haraka,unazakiwa maskini unakuta maskini yaani kizazi hadi kizazi mnachorithishana ni umaskini,msingi wa hofu kwa Kenya ni upi?
Bro unaelewa mleta uzi alichoandika, kwanini wewe unakuja na mawazo ya kupingana naye!!!

Sisi tunahofu na kenya ambayo imetuzidi kila kitu, halafu sisi ndio tunavuta nyuma mchelewe kuendelea.
 
Tanzania haina hofu ya Kenya hata kidogo bro, hii topic imelenga kutulaumu kwamba tunahujumu EAC. Kwa hizi attitudes zenu hatutakuja kuungana hata siku moja my brothers. Kama nyie wakenya mnaona ni matajiri au mmeendelea sana basi endeleeni mbele mtuache, why bother? we are not your concern.
Basi mnatakiwa muwe declare ili tutafute namna nyingine ya ku deal na fursa haina maana ku dedicate commitment kwenye useless federation
 
Kwa hiyo hujui kuwahi kuta spur maendeleo kwa kasi,si ajabu nchi ni ldc miaka nenda rudi kwa vile hamna haraka,unazakiwa maskini unakuta maskini yaani kizazi hadi kizazi mnachorithishana ni umaskini,msingi wa hofu kwa Kenya ni upi?
ni ldc lakini wananchi wake wanakula vizur, wanaishi vzr, na hakuna njaa
 
Bro unaelewa mleta uzi alichoandika, kwanini wewe unakuja na mawazo ya kupingana naye!!!

Sisi tunahofu na kenya ambayo imetuzidi kila kitu, halafu sisi ndio tunavuta nyuma mchelewe kuendelea.
Ko ukiungana na maskini wenzenu kama Uganda,Burundi,etc ndo mtaendelea? Muungano ukifanyika Fasta na wenye pesa like Kenya itasaidia ku push maendeleo ya Tzn,gap ya gdp inazidi kuongezeka unasema unapush back ili iwaje?
 
hivi ilichofanywa Rwanda kuzuia malori ya Uganda kuingia nchini mwake hakivunji undugu wa Afrika Mashariki?,Ila Tanzania ililinda maslahi yake ndoi inavunja undugu wa Afrika Mashariki?,Wakeywa mtaacha lini unafikia?,lkn kwani lazima Tanzania iwemo?si mlianzisha Coalition of the Willing,iko wapi?,mbona hatuisikii?,napo ni Tanzania imeiharibu?...acheni chuki zenu
 
Ko ukiungana na maskini wenzenu kama Uganda,Burundi,etc ndo mtaendelea? Muungano ukifanyika Fasta na wenye pesa like Kenya itasaidia ku push maendeleo ya Tzn,gap ya gdp inazidi kuongezeka unasema unapush back ili iwaje?
Eti kupush maendeleo ya Tz
 
Ko ukiungana na maskini wenzenu kama Uganda,Burundi,etc ndo mtaendelea? Muungano ukifanyika Fasta na wenye pesa like Kenya itasaidia ku push maendeleo ya Tzn,gap ya gdp inazidi kuongezeka unasema unapush back ili iwaje?
Kenya haina uwezo wa kuiboost tz wewe dogo, nyinyi endeni tu na GDP, mkiweza nyanyueni wengine huko nendeni hata somalia.

Ethiopia iko na GDP kubwa sana, mnaweza endelea zaidi mkungana huko.
 
Basi mnatakiwa muwe declare ili tutafute namna nyingine ya ku deal na fursa haina maana ku dedicate commitment kwenye useless federation
Mko huru kuangalia options zingine bro, nini kinawakwamisha kwani? Tanzania tunataka a healthy competition na ku-cooperate na watu wanaoheshimu our economy, our people and values.

Siwezi kucondemn all Kenyans on this, but watu wachache wenye ideology kma wew mjitathimini upya.
 
Ko ukiungana na maskini wenzenu kama Uganda,Burundi,etc ndo mtaendelea? Muungano ukifanyika Fasta na wenye pesa like Kenya itasaidia ku push maendeleo ya Tzn,gap ya gdp inazidi kuongezeka unasema unapush back ili iwaje?
Ha ha haa, so now its Uganda n Burundi tena, the fact kwamba you have deep arrogance and disrespect to your neighbor shows how uncivilized you are. I recline in peace, ngoja nikajenge nchi.
 
Back
Top Bottom