Mkwawe
JF-Expert Member
- Jun 10, 2016
- 2,344
- 4,167
Kwa hiyo haya ni mawazo ya wakenya wengi dhidi ya watanzaniaMbona unateseka kunijibu mimi, nimeleta bandiko la gazeti wacha kunijadili, jadili kilichoandikwa kwenye gazeti, mimi siye mwandishi wala sio mwandishi wa habari.
Jifunze kutumia muda wako vizuri.