Yaani wewe upo hapa JF ndio uipangie Serikali ya Tanzania? Wacheni dharau, hivi kwa Tanzania ndege kwa mfano 20 zinatosha kweli kukidhi mahitaji yetu ya usafiri wa anga? Leteni stats nchi zinazotuzunguka wana ndege ngapi etc kabla ya kuanza kutapika matapishi yenu.Kwa sasa kiupaumbele chetu, hakitakiwi kiwe ni ununuzi wa ndege. Tuna matatzo lukuki , Ivi kwa logic tuu ya kawaida unaenda kununua ndege kwa Cash then unarudi kukopa hela ili ujenge....
Mwendazake aliacha ndege 8 huku zikiwa zimelipiwa 3 , moja imeshakuja.Mikataba chechefu na mibovu, wahawakusoma mstari kwa mstari,neno kwa neno, kukosa uzoefu wa kufunga mikataba ktk sekta ya anga, uvivu wa kusoma na kiburi cha kuonesha ufahari kuwa nchi ni tajiri...
Oda ya ndege ni 2 tu ndio zimebaki.Ndege hununuliwa kwa oda. Unaweka oda Leo ili uipate kesho. Oda yenyewe ni kama mkataba ambao unakuwa umejifunga. Usiponunua kuna malipo lazima uyalipe. Sasa kama tuliweka oda ya ndege tano na kwa vile sisi pesa si tatizo, basi tumeshawalipa hao jamaa tunasubiri ndege zetu tu. Hatuna budi kuvumilia hadi zote zifike hapa halafu tutajua nini cha kufanya. Asanteni kwa kunisikiliza.
Wewe upo upande gani haswaa?Yaani wewe upo hapa JF ndio uipangie Serikali ya Tanzania? Wacheni dharau, hivi kwa Tanzania ndege kwa mfano 20 zinatosha kweli kukidhi mahitaji yetu ya usafiri wa anga? Leteni stats nchi zinazotuzunguka wana ndege ngapi etc kabla ya kuanza kutapika matapishi yenu.
Washenzi wanataka kutapanya pesa zetu kupitia utopolo wa Ndege. Hawana habari na mambo ya muhimuWatu na akili zo wanashangilia kununua ndege, a Nation, nchi ya kishenzi hii. What is Ndege?
Washenzi hawataki ndege, barabara, madaraja na reli wanataka hela zinazotumika katika manunuzi hayo zigawiwe kwa watu mitaani! Kweli hii nchi ya kishenzi.Watu na akili zo wanashangilia kununua ndege, a Nation, nchi ya kishenzi hii. What is Ndege?
Asante kwa taarifa. Maumivu hayo yaendelee.Oda ya ndege ni 2 tu ndio zimebaki.
Hizi 5 ndio mchakato wa kununua unaanza. Moja itakuwa ya mizigo
Kwani kuna mwenye uelewa timamu asiyejua kuwa ndege zinanunuliwa ili wahusika wapate commission a.k.a 10% ?wewe na akili yako CAG kila ukaguzi wa mahesabu anabaini hasara katika uendeshaji wa hiyo biashara bado waendelea ununuzi?Leo Jumatano Septemba 01, 2021 Gazeti la HABARI LEO limeachia Makala yangu kwenye ukurasa wake wa 12 mpaka 13 yenye kichwa cha habari "KWANINI NI MUHIMU TANZANIA IENDELEE KUNUNUA NDEGE?. Mjadala mzuri na mkubwa sana.
Ni hivi, katika juhudi za kufufua Shirika la ndege na kuimarisha sekta ya anga nchini, Serikali imenunua ndege mpya 11 na 9 kati ya hizo zimeshawasili nchini huku 2 zikitarajia kuwasili muda wowote. Baada ya ndege hizo 11, Serikali sasa imenunua ndege zingine mpya 5 ambazo zitawasili mwaka 2023.
Mjadala ni mkubwa kuhusu ununuzi wa ndege hizi, Je kuna haja ya nchi yetu kuendelea kununua ndege na kuimarisha sekta nzima ya usafiri wa anga? Gazeti la HABARI LEO linapatikana nchi nzima popote panapouzwa Magazeti, fika upate nakala yako halafu ukafaidi huu mjadala wangu. Hutajuta.
Bwanku M Bwanku.
View attachment 1919987
Hii ni nchi pekee ambayo ina viongozi wabinafsi wasiojali wananchi na maamuzi yao. Bila soni mtu anasema Rais ametoa fedha (tena mabilioni ya shs) kufanya miradi (hata kama ni kweli) anatoa mfukoni Kwame? Usahihi ni serikali imetoa kwa sababu ni kodi zetu.Asante kwa taarifa. Maumivu hayo yaendelee.
UjingaNdege hununuliwa kwa oda. Unaweka oda Leo ili uipate kesho. Oda yenyewe ni kama mkataba ambao unakuwa umejifunga. Usiponunua kuna malipo lazima uyalipe. Sasa kama tuliweka oda ya ndege tano na kwa vile sisi pesa si tatizo, basi tumeshawalipa hao jamaa tunasubiri ndege zetu tu. Hatuna budi kuvumilia hadi zote zifike hapa halafu tutajua nini cha kufanya. Asanteni kwa kunisikiliza.
Unajadili na nani kwenye huo mjadala wa kwenye gazeti?Leo Jumatano Septemba 01, 2021 Gazeti la HABARI LEO limeachia Makala yangu kwenye ukurasa wake wa 12 mpaka 13 yenye kichwa cha habari "KWANINI NI MUHIMU TANZANIA IENDELEE KUNUNUA NDEGE?. Mjadala mzuri na mkubwa sana.
Ni hivi, katika juhudi za kufufua Shirika la ndege na kuimarisha sekta ya anga nchini, Serikali imenunua ndege mpya 11 na 9 kati ya hizo zimeshawasili nchini huku 2 zikitarajia kuwasili muda wowote. Baada ya ndege hizo 11, Serikali sasa imenunua ndege zingine mpya 5 ambazo zitawasili mwaka 2023.
Mjadala ni mkubwa kuhusu ununuzi wa ndege hizi, Je kuna haja ya nchi yetu kuendelea kununua ndege na kuimarisha sekta nzima ya usafiri wa anga? Gazeti la HABARI LEO linapatikana nchi nzima popote panapouzwa Magazeti, fika upate nakala yako halafu ukafaidi huu mjadala wangu. Hutajuta.
Bwanku M Bwanku.
View attachment 1919987