Samwel Ngulinzira
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 1,829
- 1,958
Nimekaa nimetafakari sana ni kwa nini Tanzania hatutengenezi magari ila nmeshindwa kupata majibu.
1. Kuna raw materials za kutosha. raw material kubwa ni chumba na tuna maeneo mengi ambayo chuma kinapatikana kama tunaweza kutengeneza mabati na nondo kwa nini tushindwe magari?
2. Soko. soko la ndani ni zuri kwa upande wa fuel efficient cars pia soko la nje ni zuri hasa kwa gari ambazo zina nguvu kwa sababu majirani zetu (rwanda, burundi and drc) wana milima na tope hivyo wanahitaji gari strong.
3. Umeme ingawa unasuasua lakini miradi iliyopo inaleta matumaini. lakini kama dangote kafanya uwekezaji mkubwa hivyo kwa nini inakua ngumu kupata kiwanda ata cha kutengeneza spare parts?
4. Miundombinu kwa ujumla sio mibaya nadhani inavutia wawekezaji.
Kwa nini tusijenge ata kiwanda cha bajaj au pikipiki?
kama mtu anauwezo wa kuagiza toyota vitz Japan kwa milion 12 sidhani kama atashindwa kununua Suzuki maruti made in Tanzania.
kama bajaj inauzwa milioni saba nadhani ikitengenezwa hapa nchini itakua cheap zaidi ya hapo. naomba wale ambao mpo kwenye industry ya magari mnitoe tongotongo. ina maana ata kiwanda cha kuassemble magari inakua ngumu?