Kwanini Tanzania hatuna Marafiki wa "Maana" hapa Afrika?

Wewe unaweza kukubali kuwa na rafiki ambae ni thug au ambae ni kibaka au ambae ni moron?ndiyo maana nchi za maana za Afrika zimekaa mbali,ni hazitaki matatizo na huyu mental case
For sure, naskia pia jirani hapa 254 wanamwona jamaa kama mental flani hivi
 
Ukiangalia katika wageni waliohudhuria Hafla ya Kumwapisha Rais, utagundua kuwa hakukuwa na wageni wowote wa maana kwenye shughuli hiyo kutoka kwenye nchi zingine za Afrika, hii inaashiria nini?

Nilitegemea nione viongozi wakubwa wa nchi zinazotuzunguka +SADC kama South Africa, Zambia, Kenya au Ethiopia, so ni Uganda na Zimbabwe tu? Hii ina maanisha nini? Corona?
Watakujaje kama hawakualikwa?
 
Mkuu sasa wangekujaje viongozi wote aise.

Wewe ni mpumbavu na ndio tatizo kubwa la nchi hii. Hebu soma tena uzi wa jamaa - kataja hata nchi. Swali la “wangekujaje viongozi wote?” lina msingi gani??

Tuache hilo. Tanzania ilikuwa taifa muhimu sana kwa South Africa, Zimbabwe, Angola, Msumbiji, DR Congo, Comoro. Kama hata kuhudhuria kuapishwa kwa Rais (achana na ziara) hawewezi - kuna shida kubwa. Tukome na kiherehere chetu!! Pesa tulizotumia kupigania ukombozi wa nchi hizo tungezitumia kufanya mambo yetu!!
 
Back
Top Bottom