Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 71,257
- 105,374
Mtuanzania akifanya kazi Marekani na kulipa kodi Marekani, halafu umtake alipe kodi upya Tanzania, hiyo si double taxation?Ni kwa sababu wengi walio Tanzania bado hawako kwenye mfumo rasmi wa ulipaji kodi. Hiyo ni tofauti na wale walioko Marekani.
Labda useme ugumu wa kisiasa itakapoonekana tunajaribu kuenforce sheria kwa Watanzania walioko nje huku walioko ndani tunasuasua? Mbona hiyo itaipa nguvu ya kisiasa serikali kuweza kuanza kuenforce sheria hizo kwa walio ndani. Umeone jinsi vitambulisho vya Wamachinga vilivyoleta kashkash? Ku declare siyo lazima kuwa utatakiwa kulipa kodi mfano kama kipato chako kiko chini ya kiwango fulani.
Mwisho wa siku hii haimuongezei Mtanzania aliye nje mzigo wowote zaidi wa kodi.