Kwanini Tanzania haijavunja Uhusiano na Gadaffi?

Bado hujajenga hoja ya msingi ndugu unazungukazunguka tu. Kwa hiyo misaada wanayotoa wazungu pia ni hongo maana nao wanataka tuegemee kwao. Muafrika mwenzetu anapojitahidi kusaidia wengine tunaita hongo kwa kuwa mawazo yetu yamelala na kuona kuwa ni wazungu pekee ndio wanaosaidia. Kwanini huzungumzii tawala za kifalme zilizopo duniani unamuona Ghadafi tu? Hivi nchi haziwezi kuwa ni mifumo yao ya kitawala lazima zikubali demokrasia za wazungu? Kwanini Marekani aingilie baadhi ya nchi na aache nyengine na mara zote anapotia mguu wake ujue pana maslahi yake. Hatuwezi kuwa vibaraka wa Marekani kila wakati msimamo wa Tanzania kuhusu Libya unajulikana ndio maana mama Clinton akaja kutaka kutia ushawishi wake. Hatuwezi kuvunja uhusiano wa interest za wengine

Fuatilia mzunguko huo utapa jibu.

Ila juwa kuwa misaada yate ni hatari kama hujui maana inakufunga mdomo na inakunyima uhuru, hawa watawala wetu wao wana tatizo la tatu zaidi juu ya kukosa uhuru wa kuishi kwa kukinga bakuli la omba omba! pia wanafinya demokrasia ya kweli ndani ya nchni zao, hivyo unakuta hawakubaliki ndani ya nchni zao wenyewe, kwa hiyo unapokuta kwa mfano kama wanasema Qadhaffi anaadhibiwa kwa kufinya demokrasi ndani ya nchni yake na kuuwa raia hawa watawala wetu hawawezi kusimama kifua mbele kupinga na kumuunga mkono hata kama wana hamu hiyo kwasababu hata wao ndani ya nchni zao hakuna uhuru kamili na hawakubali kabisa kwa wananchni waliowengi yamkini pia sasa wanauwa raia.
 
Kwa hiyo wewe umeona misaada ya Ghadafi ndio hatari lakini ya Warekani ndio sawa?!!! Demokrasia ya wazungu sio msahafu wa kila mtu aifuate. Bado utawala wa Ghadafi una afadhali katika kuboresha maisha ya wananchi wake kuliko tawala nyingi. Ukisema kila nchi ambazo hazifanyi chaguzi kama zile za kifalme uziingilie utaleta mgogoro mkubwa duniani. Waasi wa Benghazi ni vibaraka wa nchi za Magharibi na wala hawawezi kuwakilisha hisia za wananchi wa Libya
 
Tena hao wamarekani tunaowaabudu are not known to uphold human rights. Mbona wanaacha human rights abuses zinaendelea Gaza unabetted! Au wale wapalestina siyo binadamu? Hivi hii stereotype ya kwamba kila mzungu akikohoa yuko sahihi itakwisha lini. Mimi narudia: Alichofanya Gadaffi ni sahihi, kama Museveni na Kony au Dos Santos na Savimbi. Mbona hatukusikia kelele hizi tunazosikia sasa. Au ndo ile wanasema kunya anye kuku, akinya bata ........?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom