Kwanini TAKUKURU na ZAECA zisiunganishwe kuwa chombo kimoja?

alaksh natena

JF-Expert Member
Oct 4, 2017
423
447
Habarini za jioni wakuu.

Naomba kutambua kwanini TAKUKURU na ZAECA zisiunganike na kufanya kazi moja chini ya Sheria moja inayofanana.

Nashangaa hili sababu vyombo vyote vya kiulinzi na usalama ni vya Muungano na vinafanya kazi zao pamoja shida ipo PCCB na ZAECA Kwanini?

Kwanini kisiwe chombo kimoja Cha Muungano? Mama Samia na Dkt. Mwinyi nadhani wakae pamoja na kuliangalia hili otherwise kutakuwa na tatizo sehemu

Nyumba moja itajengwaje na watu wanagombania fito? Nipo tayari kukosolewa wakuu.
 
Wanasiasa wanadanganya sana wananchi.

Kimsingi hakuna serikali ya muungano bali kuna serikali ya Tanganyika ilivyovikwa koti la muungano.

Na serikali ya zenji inayotafuta mamlaka yake kamili mdogomdogo.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom