Kwanini Sweden (Sida) hawakutupa pesa FY2020|21 na badala yake wametupa FY2021|22 mwaka mmoja baadaye?

UKIWA NA SAMIA RAHA SANA

Mabeberu waliwasikiliza sana hawa akina Lissu

Ila kwa jinsi mama anavyowafuata hadi New York kina Lissu kimya kabisa

Niliwaambia Samia atafanya mambo makubwa sana kirahisi kwasababu ya mkono wa Mungu

Mungu ampiganie Rais wetu kipenzi aendelee kutusaidia sisi masikini

πŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏ

Miezi sita ya Rais Samia,

Nchi imetulia tuli,
Wawekezaji kama wote
Wahisani kama wote
Wananchi Shangwe kila kona

#KAZIIENDELEE
 
Pale mpewa msaada anapokua entitled mpaka anauliza kwanini msaada umetolea leo na sio jana

Yaani hii entitlement ya kuzungusha bakuli ni next to none

Yaani badala ya kusema kwanini wateja hawajanunua korosho mwaka juzi wanataka kununua mwakani baada ya miaka mi3,eti upo hapa unaulizia bakuli lini wataliwekea chochote?

Hizi mentality za kupewa vipi hizi....zimeletwa na CCM..na nailaumu sana yaani
Nadhani hujaelewa meaning,

Sweden walizuiwa na akina Lissu kuleta hizo pesa mwaka jana,

Ndio nauliza imekuwaje wamezileta?



πŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏ

Miezi sita ya Rais Samia,

Nchi imetulia tuli,
Wawekezaji kama wote
Wahisani kama wote
Wananchi Shangwe kila kona

#KAZIIENDELEE
 
Miaka zaidi ya 60 chini ya CCM nchi ni changa au imeshadumazwa?

πŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏ

Miezi sita ya Rais Samia,

Nchi imetulia tuli,
Wawekezaji kama wote
Wahisani kama wote
Wananchi Shangwe kila kona

#KAZIIENDELEE
 
Hata mimi sijawahi chagua ccm miaka yote na Mwendazake ndio alisababisha nikawachukia mazima ila sasa hivi nitachagua Rais Chief Hangaya ila kwingine sitopigia kura yeyote maana wabunge walioko si wapinzani au ccm hamna kitu.

πŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏ

Miezi sita ya Rais Samia,

Nchi imetulia tuli,
Wawekezaji kama wote
Wahisani kama wote
Wananchi Shangwe kila kona

#KAZIIENDELEE
 
Kwa kawaida kuna utaratibu katika mikataba hiyo kuwa malipo mapya hufuata baada ya taarifa ya matumizi inayorishika, labda pia masharti mengine,
Kama masharti hayakutumizwa, basi hamna pesa tena. Ni jambo la kawaida katika mikataba yote, ya kibinafsi au kiserikali.
Historia hii sikufuatilia . . .

πŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏ

Miezi sita ya Rais Samia,

Nchi imetulia tuli,
Wawekezaji kama wote
Wahisani kama wote
Wananchi Shangwe kila kona

#KAZIIENDELEE
 
Achape kazi, asirithi maadui, ajenge umoja wa kitaifa, asimamie maagizo yake, ahoji kwa umakini mkubwa ushauri anaopewa na wasaidizi wake, ataushangaza ulimwengu.

πŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏ

Miezi sita ya Rais Samia,

Nchi imetulia tuli,
Wawekezaji kama wote
Wahisani kama wote
Wananchi Shangwe kila kona

#KAZIIENDELEE
 
ndio mimi nimezaliwa kwa bahati mbaya naishi kwa makusudi , sijipendekezi kwa mtu hadi nijiite eti mtoto wake mimi nabeba boksi huku kwa mabeberu napata unga wa wanangu. Huku na enjoy kwakua wana adabu heshima na wana utu hawauwi watu hovyo kwa kutofautiana mawazo.

πŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏ

Miezi sita ya Rais Samia,

Nchi imetulia tuli,
Wawekezaji kama wote
Wahisani kama wote
Wananchi Shangwe kila kona

#KAZIIENDELEE
 
Back
Top Bottom