Jabali la Siasa
JF-Expert Member
- Jul 10, 2020
- 2,519
- 2,131
- Thread starter
- #81
Mkuu Hayati Magufuli kapondwa wapi?daah,cjui mmetoka wapi nyie.
Yani mbona wanafiki sana nyie.hizo sifa mnazompa samia na kumponda magufuli wakati wote ni serikali moja mmezitoa wapi?
Swala la kulinganisha mipango ya maendeleo ni jambo la kawaida duniani kote,
Hayati Magufuli mwenyewe alikuwa annasema nimeongeza bajeti ya madawa toka Tsh 31b mwaka 2015 hadi 270b mwaka 2020,
Je alikuwa anamponda JK?
TUACHENI MAHABA YA KISHAMBA KAMA HAMTAKI SAMIA ATAJWE ZIBENI MASIKIO KWAKUWA TUTAMTAJA SANA